Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
kaa utulie na tukianza kufanya yetu usije hapa kulia lia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu haikuanza kudorora msimu huu tu,bali tangu alipifika lwandamina soka ikavurugika kabisa,tulichukua ubingwa kwa sababu tu ya mistake za simba na matokeo mazuri aliyoanza nayo pluijm.nyie ndio mashabiki ambao ukichunguza ni mashabiki wa arsenal pia,mashabiki wenye subira iliyopitiliza mpaka pale timu ikishadhalilika kiasi cha kupitiliza ndio mtastuka labda.Hawezi kuwa Yanga huyo - iwe shabiki au mwanachama. Two games kwenye ligi anaongea sana. Majeruhi ya Tambwe, Chirwa na hata Ngoma msimu uliopita hayaoni hata kidogo. Mpira hauko hivyo
Kila msimu kuna timu huanza na nguvu za soda na huanza kuisha katikati ya msimu. Yanga imekuwa na tendancy ya kuanza taratibu na ku pick kadri muda unavyoenda. Yeye hajui yote hayo.
Tusipoteze muda na matopeni wanaojifanya Yanga.
Gonganeni wenyewe huku huku acheni kuhusisha timu fulani. Aliyekuwa akinunua mechi hayupo, unadhani timu itakuwa poa hapo?Hawezi kuwa Yanga huyo - iwe shabiki au mwanachama. Two games kwenye ligi anaongea sana. Majeruhi ya Tambwe, Chirwa na hata Ngoma msimu uliopita hayaoni hata kidogo. Mpira hauko hivyo
Kila msimu kuna timu huanza na nguvu za soda na huanza kuisha katikati ya msimu. Yanga imekuwa na tendancy ya kuanza taratibu na ku pick kadri muda unavyoenda. Yeye hajui yote hayo.
Tusipoteze muda na matopeni wanaojifanya Yanga.
Kuhusu lengo lamleta uzi
Kwanza kabisa nimesoma uzi na kushindwa kabisa kuelewa nini hasa lengo/maudhui ya mleta mada. Huwa ni vigumu sana kuchangia uzi zilizobeba hisia kuliko zile zenye hoja.
Nilichokiona hapo juu ni hisia za mwanajangwani (ila sina uhakika kama ni mwanajangwani).
Ukijaribu kusoma tena kwa mara ya tatu mpaka 5 kichwa kinajaa kizunguzungu na unaanza kuhisi kama unachanganyikiwa, hii yote ni kutaka kulazimisha akili kuelewa jambo ambalo hata mleta mada ameshindwa namna ya kulileta.
Nikijaribu kujibu/kudadavua hisia zamleta uzi "Hivyohivyo"
Bw four eyes anaonekana kujawa na hofu + wasiwasi kuhusu kiwango cha timu yake na anaonekana kumtupia Lawama mwalimu GL na lawama zaidi akizielekeza kwa Utawala wa Klabu.
Wakati huo huo anataka utawala uvunje mkataba na GL kwa sababu haridhishwi na uchezaji wa timu, na anajua wazi kuwa kuvunja mkataba ni gharama kubwa na suala la ajabu mleta mada mwenyewe anajua kuwa hali ya uchumi wa klabu sio sawa. (Kwa ujumla hapa sijaelewa lengo la mleta mada).
Cha kushangaza mleta mada anasema/anafikiri kuwa ipo siku Klabu itashuka daraja. (hapa kidogo nilicheka kwa kicheko cha Sokwe pori, ndio maana nikasema sina uhakika kama ni mwanajangwani).
Kuhusu "Haya ya mwisho": Mleta mada anadai alihoji, sasa sijui alihoji viongozi wa yanga au ni wenzake wa vijiweni. Kama alihoji wenzake wa vijiweni hapo sina la kujibu ila kama amehoji viongozi wa benchi la ufundi na akapewa jibu hilo basi huenda walimpuuzia na kumpa jibu la namna hiyo.
"Hitimisho"
Kuna shabiki na Mwanachama, sasa sijui yeye yuko upande gani? Kama uko upande ambao hauna hata nafasi ya kutolea mchango wa kifedha klabu yako, basi huna haki ya kushauri nini kifanyike klabuni.
Unadai GL avunjiwe mkataba, Je fedha za kuvunja mkataba wake zinatoka wapi? (Mwambie mleta uzi ajibu hili swali).
Ni sawa na mwanaume anamuacha mke wake bila fedha asubuhi lakini akirudi nyumbani jioni anataka akute Wali+Mayai+Matunda+Mboga za majani nk
Omog huyo si ndo alishinda saba tukashindwa kulala mtaani!!!Yanga hoiiiiiiiiii njooni simba tu huku mvua ya magori ipo Japo huyu Omog alichotufanyia kwa Azam akiba ya maneno kwanza
Simba daima
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako wewe ulishindwa kulala niniOmog huyo si ndo alishinda saba tukashindwa kulala mtaani!!!
Sent from my TV
Time will tell...ngoja tutakapomalizana na Lwanda tutawarudia[emoji460]Acha zako wewe ulishindwa kulala nini
Simba bado wababe wenu heshima lazima mtupatie nyinyi wote mkodisho fc
Ni Kweli Mkuu.Tatizo ni mlimtegemea sana Manji, msitafute mchawi mwingine bali ni uongozi kujisahau na kumtegemea Manji, yaani Manji alikuwa akisema anaachia ngazi mnaenda kumpigia magoti! Sisi Simba tumeshazoea shida, raha ikija poa tu ila barabara zote tunapita fresh tu!
Mark my words. Ndoo ya nne inakuja.Gonganeni wenyewe huku huku acheni kuhusisha timu fulani. Aliyekuwa akinunua mechi hayupo, unadhani timu itakuwa poa hapo?
Poa nduguNilikuwa najiandaa kumjibu huyu punguani lakini Mara tu nilipoona jibu lako nimetosheka kwamba umenijibia kiasi cha kutosha.
Thubutuu yake... Aisee nitakuja kulala pale bondeni bila neti mbu waniumee hadi nipate malaria.Mark my words. Ndoo ya nne inakuja.
JiandaeThubutuu yake... Aisee nitakuja kulala pale bondeni bila neti mbu waniumee hadi nipate malaria.
Mwaka wa msimbazi huu..!
Hawezi kuwa Yanga huyo - iwe shabiki au mwanachama. Two games kwenye ligi anaongea sana. Majeruhi ya Tambwe, Chirwa na hata Ngoma msimu uliopita hayaoni hata kidogo. Mpira hauko hivyo
Kila msimu kuna timu huanza na nguvu za soda na huanza kuisha katikati ya msimu. Yanga imekuwa na tendancy ya kuanza taratibu na ku pick kadri muda unavyoenda. Yeye hajui yote hayo.
Tusipoteze muda na matopeni wanaojifanya Yanga.