Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Sembo uko wapi njoo uone timu yako Leo inaoga magoli
 
Yanga mmelowa ....[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kesho ni boti au ndege ya mapema inawahusu
 
Duh! Au walikuwa maveterani wa vita ya pili ya dunia? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom