Yanga hongereni kwa mpira ule, nusu fainali ni yenu

Yanga hongereni kwa mpira ule, nusu fainali ni yenu

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Mimi mnyama bila kuficha ila kwa pira lile la jana pale Stade Olympique de Radès Yanga dhidi ya Club Africain, naiona nusu fainal yao kabisa, tena wakizubaa anabeba ndoo. Kule Shirikisho pepesi hakuna wakazaji sasa kama kule.

Hongereni. The Future is Bright.
 
Tuna wapongeza yanga
Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea.
Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
 
Tuna wapongeza yanga
Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea.
Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
Historian kwasababu hakuna timu ya Tanzania imewahi kumpiga mwarabu kwake.

Hiyo ya Simba kushinda 5 ilikua ni timu toka South Africa.
 
Yanga walicheza vizuri nyuma mpaka kati ila kuna kitu wanakosa kidogo wakilifanyia kazi nadhani watafanya vizuri mbele hawatengenezi nafasi nyingi za kufunga au hata chache lakini clear chance waki balance hilo tu uwezo wanao
 
Back
Top Bottom