Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
mpira bana is an art, na jamaa alikua ardhi yake kwa Tunisia yule sasa nafikiri aliinuia sana game ile na kafanikiwaAhsante sanamsema kweli ni mpenzi wa Mungu nawe umesema kweli. Nabi kawakomoa warabu wenzie.
Edit mwenyewe.moderators Tafadhali heading isomeke kwa Mpira ule na sio yule
Punguza jazba mkuuEdit mwenyewe.
Hapana mkuu, nisamehe tu.Punguza jazba mkuu
Pamoja ChiefHapana mkuu, nisamehe tu.
Historian kwasababu hakuna timu ya Tanzania imewahi kumpiga mwarabu kwake.Tuna wapongeza yanga
Ila Wakikuambia Yanga imeweka historia na haijawahi tokea.
Waambie Je wanakumbuka ile historia ambayo haijawahi vunjwa ya simba kupigwa 4-0 ikapindua ugenini kwa 0-5 au wamesahau
TENA ZAMBIA!!Historian kwasababu hakuna timu ya Tanzania imewahi kumpiga mwarabu kwake.
Hiyo ya Simba kushinda 5 ilikua ni timu toka South Africa.