mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga