Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sawa ngoja tuone kakaMpe miezi sita utajuta ana magoli machache sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ngoja tuone kakaMpe miezi sita utajuta ana magoli machache sana
Hahaaaaa, ninecheka sana eti makambo hata kupiga danadana hawezi ila FEI sasa 😄😉😆😩🤣😂😁😀Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga
wachezaji wakija yanga,yanga ndo inawafanya hao wachezaji waonekane bora...wachezaji wakienda simba,hao wachezaji ndo wanaopambana kuifanya simba ionekane bora...Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga
Umemsahau Nabi na Morrison timu' Yao imetolewa CAF Champions league Hawana pa kwenda kimataifa Kwani utaratibu wa kuangukia losers' Cup kama Yanga mwaka Jana Safari hii haupoHuwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga
😆😆😆😆 Umemaliza hakunaHuwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga
Nonda Shaaban...Hiyo kweli
Yanga usitoke kwa dharau
Kumbuka kilichowapata akina
Kavumbagu
Domayo
Niyonzima
Juma abdul
Kessy
Yondani
Djuma shaban
Tshishimbi
Bangala
Feisal
Tuliempa baraka zote ni Msuva na Mayele tu
Nabii alikuwa na historia ya kufukuzwa kila mara, Yanga ilisimama nae ndio kupata mafanikio aliyonayo.Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga
Wachawi sana YangaHuwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa ndio meisho wake,gundu hili pia linahamia kwa makocha,le profeseli Nabi anakwenda kutimuliwa muda si mrefu.
Za chini ya kapeti ni kuwa huwa wanaliswa yamini au kiapo cha nadhiri kama ndoa ya kikristo. Papaa Mwinyi Zahera a multi milkionaire aliyewahi kuwa kocha na mfadhili wa Yanga anajuta kuijua Yanga, Cedrick Kaze ana point moja kwa mechi nne sijui tatu, kuna akina Papii Tshishimbi, Amis Tambwe waliondoka wakiwa wa moto nikaskia wapo Kitayose.Makambo sasa hivi hata kupiga danadana mbili hawezi.
Feisal hata kutuliza mpira hawezi tena anapiga shoot mwisho mita kumi tu
Je huu ni uungwana
Nitajieni wachezaji watatu tu wa Yanga waliobaki na ubora wao baada ya kutoka Yanga
Nonda,Saido,Dilunga na Msuva wametoka wapi?Toa orodha nani katoka Yanga akaenda kushine