Yanga huwa inawaachia gundu wachezaji inaowaacha, kwanini?

Hahaaaaa, ninecheka sana eti makambo hata kupiga danadana hawezi ila FEI sasa πŸ˜„πŸ˜‰πŸ˜†πŸ˜©πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
wachezaji wakija yanga,yanga ndo inawafanya hao wachezaji waonekane bora...wachezaji wakienda simba,hao wachezaji ndo wanaopambana kuifanya simba ionekane bora...
 
Umemsahau Nabi na Morrison timu' Yao imetolewa CAF Champions league Hawana pa kwenda kimataifa Kwani utaratibu wa kuangukia losers' Cup kama Yanga mwaka Jana Safari hii haupo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Umemaliza hakuna
 
Nabii alikuwa na historia ya kufukuzwa kila mara, Yanga ilisimama nae ndio kupata mafanikio aliyonayo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Ben Kakolanya si kaupiga Jangwani?
 
Wachawi sana Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…