Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibadili rangi iliokiwanayo toka mwaka 1935 kwa sbb ya hao waliowaiga mwaka 1977? Hiyo akili matope
Na unakua na fikra za hivi kila wakati...CCM ni laana..Ukivaa kitu chenye rangi za CCm lazima upatwe na laana..
Yanga wanalaana..
Mko wengi kwenye hilo, jezi, kofia, skafu, tracksuit na bendera za yanga vyote vinawakorofisha baadhi ya wadau. Kama club ya Yanga inadhamilia kuongeza mapato ya club kwa kuuza jezi na vifaa vya Yanga haina budi kulifikiria suala hili kabla haijakuwa na ndoto hiyo. Mbeya City ni timu mpya lakini jezi zake zimekubalika haraka kutokana na rangiKusema kweli mm ni shabiki wa Yanga ila kwenye suala hili la jezi; huwa nafumba macho tu na kujisahaulisha. Sizipendi kinoma