Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
auditing ndo issueMi niliwahi kusema humu jf kuwa Yanga ni Brand kubwa, ukiangalia nyomi na mzuka wa mashabiki wa Yanga uwanjani nchi nzima utaona fursa kubwa ya kupiga pesa isiyotumika.
Yanga ina wajibu kuanzisha kiwanda cha vinywaji baridi, maji na maziwa na vinywaji kuviweka lebel ya Yanga, hakika yule kanjibai atasema shikamoo Eng Hersi sababu wanayanga tutanunua sana kama njia ya kusupport timu.
Mradi mwingine ni kuweka Petrol stations zenye lebel ya Yanga, wanayanga wenye magari watanunua mafuta kuisupport Yanga
Miradi hii inaweza kufanywa kwa ubia na viwanda au petrol stations zilizo kazini right now.
My share for these business ideas is 1 percent of the profit!!!
Mtasubiri sana, hakuna kiongozi wa maana anaewaza kuwapikia sijui supu na chapati mashabiki.Mi niliwahi kusema humu jf kuwa Yanga ni Brand kubwa, ukiangalia nyomi na mzuka wa mashabiki wa Yanga uwanjani nchi nzima utaona fursa kubwa ya kupiga pesa isiyotumika.
Yanga ina wajibu kuanzisha kiwanda cha vinywaji baridi, maji na maziwa na vinywaji kuviweka lebel ya Yanga, hakika yule kanjibai atasema shikamoo Eng Hersi sababu wanayanga tutanunua sana kama njia ya kusupport timu.
Mradi mwingine ni kuweka Petrol stations zenye lebel ya Yanga, wanayanga wenye magari watanunua mafuta kuisupport Yanga
Miradi hii inaweza kufanywa kwa ubia na viwanda au petrol stations zilizo kazini right now.
My share for these business ideas is 1 percent of the profit!!!
GSM anakuja na hizo bidhaa muda si mrefuMi niliwahi kusema humu jf kuwa Yanga ni Brand kubwa, ukiangalia nyomi na mzuka wa mashabiki wa Yanga uwanjani nchi nzima utaona fursa kubwa ya kupiga pesa isiyotumika.
Yanga ina wajibu kuanzisha kiwanda cha vinywaji baridi, maji na maziwa na vinywaji kuviweka lebel ya Yanga, hakika yule kanjibai atasema shikamoo Eng Hersi sababu wanayanga tutanunua sana kama njia ya kusupport timu.
Mradi mwingine ni kuweka Petrol stations zenye lebel ya Yanga, wanayanga wenye magari watanunua mafuta kuisupport Yanga
Miradi hii inaweza kufanywa kwa ubia na viwanda au petrol stations zilizo kazini right now.
My share for these business ideas is 1 percent of the profit!!!
wazo zuri kwa faida ya taifa yanga wafanye hivyoNajua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante