BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Mkuu naomba video kwa ulicho kisemaKwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Unatembea uchi mtaa gani mzee mwenzanguKwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Mkuu unapitia njia gani ili nipate nafasi ya kuona utupu wako? ha ha haa!Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Mkuu usiache kuchukua na kapicha tudogoNiko mtaan kwako hapa, nakubiria nipate sinema ya bure
Mkuu usiache kuchukua na kapicha tudogoNiko mtaan kwako hapa, nakubiria nipate sinema ya bure