Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Bado hujaanza tu kutembea....!
 
lion-roar.jpg

lion-roar.jpg

lion-roar.jpg

lion-roar.jpg

lion-roar.jpg
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Mkuu naomba video kwa ulicho kisema
 
Najua vichaa wanepata mwenzao leo....
Tunakukumbusha vua tuu usiogope
 
Alishatembea uchi huyo kabla ya mechi kuisha, na keshapigwa mimba na mnyama
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Unatembea uchi mtaa gani mzee mwenzangu
 
Mmefungwa sasa tembea uchi![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.

Sasa tembea uchi fa.la. wewe. Nataka kuona duchelele lako muse.nge. weye.
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Mkuu unapitia njia gani ili nipate nafasi ya kuona utupu wako? ha ha haa!
 
Niko mtaan kwako hapa, nakubiria nipate sinema ya bure
 
Back
Top Bottom