Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo


Leo yanga amekuwa mtamu kuliko siku zote,
mkuu mradi wako wa kuvua nguo tupe muda tuje kuchukua selfie
 


HAYA ULIAHIDI YANGA IKIFUNGWA UNATEMBEA UCHI, SASA NIAMBIE UKO WAPI ILI WAKATI UNATEMBEA UCHI NIWE NYUMA YAKO
 
mi nataka nione marinda alaf tafadhali usioge tuone na zile bao 2 za simba zinavyochuruzika utamu
 
Mkuu ushavua ngapi??
 
Jamani tupieni picha ya huyu aliyepigwa mpaka kashindwa kuvaa.
 
Tekeleza neno lako
 
Uahatembea sasa au bado tuje kukutembeza mwanzo mwisho
 
Haya saula kila kitu mpaka picchu utuwekee uchi wako hapa hadharani halafu uanze safari kesho saa nne asubuhi ya kutoka Tandale mpaka Madale watakuja waungwana kutoka JF kukushindikiza ili ufike salama wasidhani ni mwendawazimu kumbe unatimiza ahadi yako ya kutembea uchi wa binadamu.

 
Umekwisha vua ngua watu wakuchomeke dushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…