Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.

Manji alisema akiwa Yanga ..Simba haitachukua ubingwa miaka 10 ..Choko Bashite akatumia mamlaka ya kupumuliwa Na babake akamfunga jela Na.kufungia account zake...ila Mungu sio mzee Mkumba yatapita tuuWauza unga
Uzi wa lini huu?we anza tu kutembea uchi saizi maana baadaye watu watakuwa wengi barabarani.
Yanga kufungwa leo ni lazima
Sent using Jamii Forums mobile app