Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi

Kusema kweli kwa namna yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo anytime, sipati picha siku hiyo ya jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila, refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatar, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sasa kama hadi dakika 90 ubao utasoma bila bila huoni Yanga atakuwa ametolewa kwa faida ya goli la ugenini walilopata wasudan pale kwa Mkapa?
 
Yanga ikipigwa huko sudani ndio itakuwa safari ya kocha kutupiwa virago, na baadhi ya wachezaji kuachwa
 
tuliitwa underdog na tuliongoza kundi kipindi kicho nyie nacheza na mlandege fc na mkatoa draw
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
 
KIKOMBE KITUEPUKE.
NITABAKI KUWA YANGA DAMU!
1665316452524.jpg
 
Kusema kweli kwa namna yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo anytime, sipati picha siku hiyo ya jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila, refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatar, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hii ni playstation au pira halisi
 
Mim naomba mtoke ili mwende shirikisho harafu mkutane na de agosto iliyopigwa na namungo goal 6
 
Mtu kama huyu anashauriwa aende Milembe japo apate ushari.
 
Kusema kweli kwa namna yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo anytime, sipati picha siku hiyo ya jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila, refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatar, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app

Tatizo la uto ni ule mwiko uliopo nyuma
 
Hili halitokaa litokee jipangeni mwakani
 
Ikishinda Yanga lazima tetemeko au drifting itatokea. Mungu aepushie mbali na balaa hilo
 
Kusema kweli kwa namna yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo anytime, sipati picha siku hiyo ya jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila, refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatar, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Yani nilijua ndio mtacheza ivo kumbe unaomba Mungu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Kwasababu wakubwa wote wanapangiwa wadogo na wanaanzia ugenini. Baada ya nyie wadogo kuenguliwa ndo watu wanaanza kuangalie burdan sasa
 
Maneno Yako Ni Kama Mtoto Aliyefungwa Pempers Halafu Kaikojolea Na Kuinyea Sasa Unamuona Katuna Bhalaa
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Sasa toka lini mkubwa akapewa mkubwa?
 
Back
Top Bottom