Yanga ikiiondoa Al Hilal, nchi haitakalika Jumamosi

Huu uzi ni kichekesho bora cha mwezi
 
Kwasababu wakubwa wote wanapangiwa wadogo na wanaanzia ugenini. Baada ya nyie wadogo kuenguliwa ndo watu wanaanza kuangalie burdan sasa
burudani ya wadogo kusindikiza wakubwa kwenye karamu na kuishia nje! simba ni timu ndogo inayosindikiza wakubwa na kawaida kolo kelele huishia robo fainali tu simba ni timu mbovu haina ukubwa wowote!simba ni timu ndogo tu yenye promo kibao kama mandonga! hata mbeya city tu kolo hawaiwezi ushindi wa kolo ni wa mezani!

Timu kubwa ni mfano kama Bayern Munich hata vitimu vidogo inapiga sio simba mbovu tu hata kagera tu wakikaza kolo bila mchongo hawaiwezi
 
Sasa toka lini mkubwa akapewa mkubwa?
simba ikikutana na wakubwa robo fainali inapasuliwa ukubwa wake ni upi we kolo?

ni kama vile mama anaenda ukumbini na mtoto akifika anamkagua pempas (simba) akikuta kayajaza anaachwa nje!
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Simba NOW ni miongon mwa timu kubwa AFRICA. Timu kubwa kamwe haziwez kukutanishwa round za awali. SINCE 1998 YANGA MBOVU
 
Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.
Ndoto zingine bhana! Sasa si ungekaa nayo mwenyewe tu mpaka Jumamosi ukamshuhudia Ibenge anavyotoa dozi ya goli zisizopungua 3.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani
Ni bora mngeandamana huko huko ndotoni maana jumamosi hakuna kitu kama hicho zaidi ya kuficha uso na kutukana.
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Jamani tujitahidi sana kufatilia mpira, tusiegemee kwenye mapenzi ya timu tu.

Ipo hivi, ranks ndiyo zinaamua sana upangwaji wa mtoano hadi kuingia makundi. Kuna miaka Simba ilikua kila akifurukuta anakutana na Enyimba ile ya moto, Setif ya Algeria, Shandy ya Sudan, Zamalek, TP Mazembe.

Watu wakajipanga wakabahatika kupangiwa mpinzani aliyekua ranks za juu ila uwanjani akawa wa kawaida na Simba akatoboa kufika makundi.

Yanga wajitahidi kukusanya points nyingi CAF ili kuwakwepa hawa vigogo ili ukutane nao makundi, napo ujitahidi uwapasue nyumbani walau ufike robo fainali ili points ziongezeke zaidi.
 
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila.

Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mkuu amka hapo unapoota kumekucha
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Kweli wenye akili Ni wawili tu hivi kweli unaweka asec Mimosa kwenye hyo orodha
 
Azam wamezuiwa kurusha matangazo wametoa hadi mil 200 waarabu wamegoma.Kwakweli nyuma mwiko.
 
Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!

Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Kwahiyo itakuwa TFF ya Karia wanaipangia vibonde ili itese huko kimataifa na kuipangia timu yetu ya Wananchi wapinzani wagumu ili tusifike hata hatua ya Makundi
Karia na genge lake hili walilianza toka mwaka 1998 ambao ndio mwaka wetu wa mwisho sisi wananchi kufika hatua ya Makundi Klabu Bingwa
Ila haya yana mwisho[emoji22][emoji22]
 
Yanga wanaweza battle na Al Hilal huko Sudan kwa ubora wa vikosi , tatizo ni Ibenge tu.

Ni kama simba inaonekana ya kawaida,tatizo ni Chama.
 
Kusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila.

Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.

Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ah yule Haji naona ata post mitusi yotee

Ila mkuu nikuhakikishie HALITOTOKEA ilo kaka
 
Back
Top Bottom