Kusema kweli kwa namna yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo anytime, sipati picha siku hiyo ya jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila, refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatar, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.
Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.
Sent from my SM-F916B using
JamiiForums mobile app