Na ndiyo Hersi ataanza kuonja tamu ya urais wa UtopoloYanga ikipigwa huko sudani ndio itakuwa safari ya kocha kutupiwa virago, na baadhi ya wachezaji kuachwa
burudani ya wadogo kusindikiza wakubwa kwenye karamu na kuishia nje! simba ni timu ndogo inayosindikiza wakubwa na kawaida kolo kelele huishia robo fainali tu simba ni timu mbovu haina ukubwa wowote!simba ni timu ndogo tu yenye promo kibao kama mandonga! hata mbeya city tu kolo hawaiwezi ushindi wa kolo ni wa mezani!Kwasababu wakubwa wote wanapangiwa wadogo na wanaanzia ugenini. Baada ya nyie wadogo kuenguliwa ndo watu wanaanza kuangalie burdan sasa
simba ikikutana na wakubwa robo fainali inapasuliwa ukubwa wake ni upi we kolo?Sasa toka lini mkubwa akapewa mkubwa?
Simba NOW ni miongon mwa timu kubwa AFRICA. Timu kubwa kamwe haziwez kukutanishwa round za awali. SINCE 1998 YANGA MBOVUHebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!
Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Ndoto zingine bhana! Sasa si ungekaa nayo mwenyewe tu mpaka Jumamosi ukamshuhudia Ibenge anavyotoa dozi ya goli zisizopungua 3.Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.
Ni bora mngeandamana huko huko ndotoni maana jumamosi hakuna kitu kama hicho zaidi ya kuficha uso na kutukana.Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani
Jamani tujitahidi sana kufatilia mpira, tusiegemee kwenye mapenzi ya timu tu.Hebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!
Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Mkuu amka hapo unapoota kumekuchaKusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila.
Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.
Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Kweli wenye akili Ni wawili tu hivi kweli unaweka asec Mimosa kwenye hyo orodhaHebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!
Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]Yanga lialia
Za bahasha, ndo mana ikija team toka nje inajipigia
Kwahiyo itakuwa TFF ya Karia wanaipangia vibonde ili itese huko kimataifa na kuipangia timu yetu ya Wananchi wapinzani wagumu ili tusifike hata hatua ya MakundiHebu tuangalie ubora wa timu wanazopangiwa Simba hatua za awali na wanazopangiwa Yanga sijawahi kuona Simba wakipewa TP Mazembe, Asante Kotoko, Asec Mimosas, Al Ahly, Kaizer Chiefs au Raja Casablanca hapa kuna mchezo wa kuipaisha Simba kimataifa!!
Kitu kizuri wanapotoboa makundi wanakutana na timu jiwe safari yao na tambo zinaisha!!
Tuliosoma Cuba tunakuelewaYanga wanaweza battle na Al Hilal huko Sudan kwa ubora wa vikosi , tatizo ni Ibenge tu.
Ni kama simba inaonekana ya kawaida,tatizo ni Chama.
Ah yule Haji naona ata post mitusi yoteeKusema kweli kwa namna Yanga inavyobezwa na kuonekana kuwa tayari imeshaondolewa kutokana na rekodi za Wasudan hao wanapokuwa kwao, wakati ina wachezaji wenye uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote. Sipati picha siku hiyo ya Jumamosi jioni inafika dakika ya 90 bila bila.
Refa anaongeza dakika 3 tu, Al Hilal wanafanya shambulio la hatari, Bangala anaokoa anaitupia kwa Morrison, Morrison anamlamba mtu chenga anairusha kwa Kisinda, dakika ya 92 na sekunde, Kisinda anairusha kwa Fiston Mayele, mwamba haitulizi, anainyoosha moja kwa moja had kimiani, Yanga 1 Al Hilal 0.
Siku hiyo kutakuwa na maandamano nchi nzima, nchi haitakalika.Tuombe mungu jamani.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
And vice versa kwa Simba. Why et??Wakitolewa haitokuwa habari.
Itakuwa habari kama wakipita.