Yanga ikishinda kesi mtaelewa kwanini Morrison hakuwa akicheza mechi zote, na alizocheza Simba wananyang'anywa points

Yanga ikishinda kesi mtaelewa kwanini Morrison hakuwa akicheza mechi zote, na alizocheza Simba wananyang'anywa points

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Watani kumewaka hukooo.

Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula.

Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points.

Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya.

Mwanzo walitaka kusikilizia TFF wakalishwa kasa wameshinda.

Wakasahau kuna Mahakama ya soka huko lazima kieleweke

Naomba wana Yanga mnunue jezi kwa wingi kumsubiri Morrison atupe UBINGWA wetu huku watani wakipigwa faini kadhaa

Stay tuned!
 
Akili za Utopolo.
2793304_FB_IMG_16213544546843234.jpg
 
Cas akuna kesi kama iyo
Ukitaka kujua viongozi wa yanga weupe kichwani bumbuli alisema tareh 3 akuna game siku moja badae anakuja kukanusha eti ni utani

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wanaofanya utani wote kichwani hawana kitu?kwani utani unakuondolea akili? Wewe Mara ngapi umewahi kutania watu?inamaana wewe ni mweupe pia? Nini maana ya utani?
 
Yanga manyani kweli hakuna kitu kama hicho
 
Watani kumewaka hukooo.

Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula.

Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points.

Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya.

Mwanzo walitaka kusikilizia TFF wakalishwa kasa wameshinda.

Wakasahau kuna Mahakama ya soka huko lazima kieleweke

Naomba wana Yanga mnunue jezi kwa wingi kumsubiri Morrison atupe UBINGWA wetu huku watani wakipigwa faini kadhaa

Stay tuned!
Kama ikiwa hivyo, bassli Azam ndiye atakae kuwa bingwa na sio Yanga.

Na kama haitakuwa hivyo, basi Yanga itamaliza msimu ikiwa nafasi ya 3
 
Yanga wanadai Morison ni mchezaji wao lakini wamesajili wachezaji 10 wa kigeni kujumlisha na Morison ni 11 walitumia kanuni gani, kanuni hizohizo zitakazowanyang'anya pointi simba ndizo zitatumika kuinyanganya pointi yanga
 
Kwahiyo wanaofanya utani wote kichwani hawana kitu?kwani utani unakuondolea akili? Wewe Mara ngapi umewahi kutania watu?inamaana wewe ni mweupe pia? Nini maana ya utani?
Mkuu umeprove kauli ya jamaa ujue.
 
Leo taree ngap? Akili ya kuambiwa changanya na yako viongozi wenu wamewambia kesi itaanza kusililizwa taree 2 mpaka leo taree 4 hakuna mrejesho huoni kama utopolo mmepigwa

VIMBA UTOPOLO VIMBA CASE YETU HII

Hivi hawa viongozi wanapotaja hizi tarehe huwa wanajua hazitafika?
 
Hawa Utopolo kudanganywa ni kitu rahisi sana ndiyo Mana kitaa Mademu wa Kiotopolo tunawakung'uta kinyama kwasababu ni wepesi mno ukiwaonesha hata picha ya gari ukiwaambia ni yako ipo Japan inakuja basi wanaamini.
 
Back
Top Bottom