Yanga ikishinda kesi mtaelewa kwanini Morrison hakuwa akicheza mechi zote, na alizocheza Simba wananyang'anywa points

Yanga ikishinda kesi mtaelewa kwanini Morrison hakuwa akicheza mechi zote, na alizocheza Simba wananyang'anywa points

Watani kumewaka hukooo.

Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula.

Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points.

Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya.

Mwanzo walitaka kusikilizia TFF wakalishwa kasa wameshinda.

Wakasahau kuna Mahakama ya soka huko lazima kieleweke

Naomba wana Yanga mnunue jezi kwa wingi kumsubiri Morrison atupe UBINGWA wetu huku watani wakipigwa faini kadhaa

Stay tuned!
Mawazo yako ni sawa na kupiga punieto tu
 
Utopolo mulituahidi kuwa Kesi ya Morrison itasikilizwa na Mahakama ya CAS tarehe 2/06/2021, ninawakumbusha tu kuwa leo ni tarehe 05/06/2021 hivyo tunaomba mrejesho wa kuwa Simba kupokonywa points ngapi na kashushwa madaraja mangapi.
Pia ubingwa wenu mutatangaza lini?
 
IMG_1953.jpg

Kimeumana huko
 
Mkuu ingia tovuti ya CAS, tarehe 29.07.2021
Kesi inasikilizwa.
 
Back
Top Bottom