SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mawazo yako ni sawa na kupiga punieto tuWatani kumewaka hukooo.
Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula.
Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points.
Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya.
Mwanzo walitaka kusikilizia TFF wakalishwa kasa wameshinda.
Wakasahau kuna Mahakama ya soka huko lazima kieleweke
Naomba wana Yanga mnunue jezi kwa wingi kumsubiri Morrison atupe UBINGWA wetu huku watani wakipigwa faini kadhaa
Stay tuned!