Kwahiyo wanaofanya utani wote kichwani hawana kitu?kwani utani unakuondolea akili? Wewe Mara ngapi umewahi kutania watu?inamaana wewe ni mweupe pia? Nini maana ya utani?Cas akuna kesi kama iyo
Ukitaka kujua viongozi wa yanga weupe kichwani bumbuli alisema tareh 3 akuna game siku moja badae anakuja kukanusha eti ni utani
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Kama ikiwa hivyo, bassli Azam ndiye atakae kuwa bingwa na sio Yanga.Watani kumewaka hukooo.
Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula.
Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points.
Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya.
Mwanzo walitaka kusikilizia TFF wakalishwa kasa wameshinda.
Wakasahau kuna Mahakama ya soka huko lazima kieleweke
Naomba wana Yanga mnunue jezi kwa wingi kumsubiri Morrison atupe UBINGWA wetu huku watani wakipigwa faini kadhaa
Stay tuned!
Mkuu umeprove kauli ya jamaa ujue.Kwahiyo wanaofanya utani wote kichwani hawana kitu?kwani utani unakuondolea akili? Wewe Mara ngapi umewahi kutania watu?inamaana wewe ni mweupe pia? Nini maana ya utani?
Leo taree ngap? Akili ya kuambiwa changanya na yako viongozi wenu wamewambia kesi itaanza kusililizwa taree 2 mpaka leo taree 4 hakuna mrejesho huoni kama utopolo mmepigwa
VIMBA UTOPOLO VIMBA CASE YETU HII