Yanga ikiwa kwenye top form imefungwa ni Simba iliyokuwa kwenye low form: Simba ikirudi kwenye top form, Yanga wahesabu maumivu zidi!

Imefungwa goli ngapi?

Timu mpaka inapewa kombe haijafunga hata goli moja halafu mnasema mna timu.

Simba mbovu kupita wkt wote.
Ulishawahi kuona timu inapewa kikombe au nmgao kwenye mchezo wa fainali huku ikiwa haijafunga goli hata moja!! Hivi kombe la mapinduzi ulilibebaje? Je Argentina ilibebaje kombe la dunia? Hata kama ni kujitoa ufahamu, ndio kwa kiwango hicho!!
 
Uzuri kwenye ligi baada ya dk 90 hakuna matuta....! Game mbili Yanga ana goli 2 ndani ya dk 90 / Simba ndani ya dk 90 ana goli ( sifuri)....! Hizi timu zote wafungaji hakuna ila angalau back/ viungo wanaonesha kuna kitu.. Huyu konde boy sidhani hata kama atamaliza msimu na goli 8+ /... Chama/ Saido hawa ni wachezaji wa game vs mtibwa/ ruvu etc .. Yanga sidhani kama Kibabage alikua ni mtu sahihi kwao..
 
Wanajitoa ufaham hao...
 
Mkuu pale mbele kipi kifanyike, naona pamepoa sana!

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Usajili wao qa Mihemko.

-Bora kanoute kuliko Ngoma
-Yule Mickson hapana siyo yeye tunayemkjua kabisa, AMEKWISHA. CHAMA ,Saido na Onana wanastahili kuongoza Offensive

Kibu Dennis is always a low quality player.He is just Lucky.

Chemalone anajitahidi sana

Simba imesajili kidwanzi baadhi ya maeneo hawajaziba.

Baleke ,Phiri na Boko ... Ni sawa tu Uozo wa Musonda na Mzize.

Ila kuanzia Defwnse kwenda Mbele Yanga imeimarika zaidi.

Pacome alipoingia showed ana uwezo sana, Aziz Ki ameonesha improvement zaidi, Maxi is unstoppable.

Lets see
 
Yanga jana imecheza uozo mtupu.


Bora mechi ya Azam yanga alipiga mpira wa maana .


Yanga kwenye derby anapoteana sana.


Pengo la game changer mayele bado limeikost sana yanga.
 
Yanga jana imecheza uozo mtupu.


Bora mechi ya Azam yanga alipiga mpira wa maana .


Yanga kwenye derby anapoteana sana.


Pengo la game changer mayele bado limeikost sana yanga.

Ulikuwa unaangalizia mechi TV station gani..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…