Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Dar es Salaam, 1988
▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China.
▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya kuizidi tu wastani wa mabao Yanga, huku Simba ikinusurika kushuka daraja baada ya kumaliza juu ya Tukuyu Stars ya Mbeya na Reli ya Morogoro zilizoteremka daraja.
▶️Ushindi wa goli 2 - 1 wa Simba dhidi ya Yanga Julai 23, 1988 katika Uwanja wa Uhuru, ndio uliowanusuru Simba kushuka daraja na kumaliza na pointi 20, mbili zaidi ya Tukuyu Stars. Mabo ya Simba yalifungwa na Edward Chumila dk ya 21 na John Makelele dk 58, huku goli la Yanga lilifungwa na Issa Athumani dk 36.
Za ndaaani zinasema Yanga ilimsaidia mtani asishuke daraja