Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Me sijui ila subiri waje wakina kaka Mshana Jr watupe history kdgMpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African.
Raizoni ndiyo vilikuwa viatu vya maana sana zama hizo, na Kandamimbili zilikuwa zinavaliwa na watu maskini na hohe hahe. Ni kwa nini Yanga huwa inapewa majina ya kuonesha kuwa wao ni watu wa Makasiriko??
majina ya utani hata Juventus turin ... nick name yake ni VIBIBI VIZEE VYA TURINYaani timu inayojinasibu kuwa ni kubwa na ya kihistoria badala ya yenyewe kuitwa Raizoni inaitwa Kandambili??
Ikawaje sasa wao wakaitwa Kandambili badala ya Raizoni??majina ya utani hata Juventus turin ... nick name yake ni VIBIBI VIZEE VYA TURIN
Sasa hilo swali ni zuri sana ila sitaki kukudanganya tuwasubir wakongwe ila kama unataka nikupe chai haina shidaIkawaje sasa wao wakaitwa Kandambili badala ya Raizoni??
Tafuta maana ya mbumbumbu kwanzaIkawaje sasa wao wakaitwa Kandambili badala ya Raizoni??
Mbumbumbu ni mtu asiyejua kitu na hajui kama hajui.Tafuta maana ya mbumbumbu kwanza
"Rise on" watu wawe juu kwa juu!!Yote juu ya yote aliyebuni viatu vya raizon aliwaza nini
Sawa ila ule ni ubunifu wa ovyo kabisa hata ningekuwepo enzi hizo nisingevaa huo ujinga"Rise on" watu wawe juu kwa juu!!
Ungevaa tu. Leo sisi tunawashangaa vijana wanavyovaa mlegezo. Wenyewe wanaona ni sawa tu.Sawa ila ule ni ubunifu wa ovyo kabisa hata ningekuwepo enzi hizo nisingevaa huo ujinga
Kipindi tupac anakufa nilikuwa kijana haswaa sikuvaa mlegezoUngevaa tu. Leo sisi tunawashangaa vijana wanavyovaa mlegezo. Wenyewe wanaona ni sawa tu.
Bado ilikuwa haijawa fasheni kama ilivyo sasa.Kipindi tupac anakufa nilikuwa kijana haswaa sikuvaa mlegezo
π π π π daa! Huyu mwamba aliyekuwa anavaa hizi kandambili kiboko!