Yanga ilishaachana na makocha wa diploma kitambo

Yanga ilishaachana na makocha wa diploma kitambo

mwaka huu wanacheza champions league wakiwa na kocha wao kwenye benchi hayo ni mafanikio, wa simba ataanzia jukwaani na pengine Januari Necta wakitoa matokeo yake ya kurisiti atarudi kwenye benchi
Hivi unatambua kuwa yule kocha wa diploma ndio amewafanya angalau nyie wenye phd mcheze champions mwaka huu?
 
Ndo furaha pekee mlio nayo
Kocha wenu ana PhD wa simba ana diploma 😄
Mo hela zake za urithi, GSM katafuta mwenyewe
Jezi za yanga kali kuliko za simba🤣
Aliyewapa makombe(manara)tumemchukua 😄
Sie ndo tunaujaza uwanja kuliko nyie😄
Jinga kabisa,, yamesahau hata kuhoji hukumu ya Morrison na ahadi ya ubingwa waliyoahidiwa na bosi wao muuza poda kwa kivuli cha magodoro
Mkuu haya mambo nikupokezana, kipindi kile umekata zaidi ya 4 years bila kombe wa nafasi ya pili. Usisahau.
 
Kwani Cedric Kaze na kufundisha barcelona B aliwapa vikombe vingapi hapo uyopoloni?
 
Isipo kuwa hili la kulalama haliachiki. Kesi juu ya kesi.
 
Back
Top Bottom