Yanga ilishaachana na makocha wa diploma kitambo

mwaka huu wanacheza champions league wakiwa na kocha wao kwenye benchi hayo ni mafanikio, wa simba ataanzia jukwaani na pengine Januari Necta wakitoa matokeo yake ya kurisiti atarudi kwenye benchi
Hivi unatambua kuwa yule kocha wa diploma ndio amewafanya angalau nyie wenye phd mcheze champions mwaka huu?
 
Mkuu haya mambo nikupokezana, kipindi kile umekata zaidi ya 4 years bila kombe wa nafasi ya pili. Usisahau.
 
Kwani Cedric Kaze na kufundisha barcelona B aliwapa vikombe vingapi hapo uyopoloni?
 
Isipo kuwa hili la kulalama haliachiki. Kesi juu ya kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…