Na yule kocha wa viungo aliyeokoa wachezaji wa Yanga dhidi ya majeruhi naye wamemtemaBenchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA
Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
Ila mwisho wa msimu maumivu yako pale pale.Huwa Nafurah kusikia habari hizi
Sahihi kabisa! Nyakati zote za usajili mnakuwa na furaha sana. Vumbi likianza kutimka sasa, maumivu nayo yanaanza kutawala! Na mwisho wa siku furaha nayo hutoweka kabisa.Hii ndo furaha yetu sisi wana Lunyasi..maumivu yenu uto... 🐸 🐸 🐸
Umefurahi mwenyewe,lakini hizo tetesi zitawauaNamba 6 wao Mkude atawasaidia
Ni replacement nzuri kwa Mayele
Si kwa msimu huu...Sahihi kabisa! Nyakati zote za usajili mnakuwa na furaha sana. Vumbi likianza kutimka sasa, maumivu nayo yanaanza kutawala! Na mwisho wa siku furaha nayo hutoweka kabisa.
sidhani kama unanizidi mkuu"class mate"Huwa Nafurah kusikia habari hizi
toa vitu weka vitu,hao wametumika,weka vyuma vipya.Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA
Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
Kubomoka Kwa Yanga ndio ubingwa pekee mtakaoupata...Niliwaambia hapa Mei wakanitukana wee ila sasa hivi wanatia huruma hakuna anayethubutu kurusha neno lake kwangu
Bila kumsahau Aucho, jamaa anajipost kwenye mitandao akiwa Uganda, wala hajali kama pre-season imeanza 😁Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA
Wanapata furaja ya muda!Ila mwisho wa msimu maumivu yako pale pale.
Chama yupo wapiBila kumsahau Aucho, jamaa anajipost kwenye mitandao akiwa Uganda, wala hajali kama pre-season imeanza [emoji16]
Anashughulikia visa. Aucho wala hahitaji visa, anapanda tu Saibaba la Kampala anapitiliza KigamboniChama yupo wapi