Yanga imebomoka

Yanga imebomoka

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA

Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
 
Na yule kocha wa viungo aliyeokoa wachezaji wa Yanga dhidi ya majeruhi naye wamemtema
 
Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA

Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
toa vitu weka vitu,hao wametumika,weka vyuma vipya.
 
Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA
Bila kumsahau Aucho, jamaa anajipost kwenye mitandao akiwa Uganda, wala hajali kama pre-season imeanza 😁
 
Back
Top Bottom