Yanga imebomoka

Yanga imebomoka

Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA

Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
Isikupe shida hiyo; hao wote waliletwa na Injinia Hersi isipokuwa Feisal tu. Ataleta wengine.
 
Benchi la ufundi lote out. Mayele huyo Pyramid, Djuma TP Mazembe, Bangala - Singida, Feisal - Azam, Kisinda karudi Berkane, Morrison - Thank you. Na bado Kuna tetesi za Diarra kumfuata Nabi -;Rabat FA

Eng. Hersi ana kazi ya kuijenga upya Yanga. Je Yanga itapata mafanikio au kuzidi ya 2022/2023
Aliyesema ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka ajengewe mnara kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom