SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu.
Sasa hivi wachezaji wameambiwa nao wachangie kwenye kibubu cha klabu ili kuokoa jahazi.
Juzi ilikuwa zamu ya Kibwana, jana ikawa zamu ya Pacome. Vibakuli vimerudi kivingiiine.
Wamemchukua Israel Mwenda ila anazurura tu na timu maana hawezi kucheza bila kusajiliwa. Huku Mpanzu ameshaanza kukiwasha toka day 1 dirisha lilivyofunguliwa!
Hii timu dawa yao ni kuwapelekea wale jamaa wa kausha damu ndo watawaweza.
Gusa mfuko, achia jero, tulipe madeni.