Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Timu haiwezi kusajili mpaka ilipe madeni wewe unawaza ubongo wa mwenzio badala ujiangalie kama wako upoUna ubongo kweli humo kichwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu haiwezi kusajili mpaka ilipe madeni wewe unawaza ubongo wa mwenzio badala ujiangalie kama wako upoUna ubongo kweli humo kichwani?
Akili mgando, hivi kwa zama hizi kuna watu bado wanazo?Wote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu.
Sasa hivi wachezaji wameambiwa nao wachangie kwenye kibubu cha klabu ili kuokoa jahazi.
View attachment 3188755
Juzi ilikuwa zamu ya Kibwana, jana ikawa zamu ya Pacome. Vibakuli vimerudi kivingiiine.
Wamemchukua Israel Mwenda ila anazurura tu na timu maana hawezi kucheza bila kusajiliwa. Huku Mpanzu ameshaanza kukiwasha toka day 1 dirisha lilivyofunguliwa!
Hii timu dawa yao ni kuwapelekea wale jamaa wa kausha damu ndo watawaweza.
Gusa mfuko, achia jero, tulipe madeni.
Watu wananunua merch, wanakwenda viwanjani na wananunua bidhaa za mwekezaji. Hiyo ni sapoti tosha sana.Jengeni....nidhamu na mazoea luchangia team sio kutegemea bwana wenu mmoja watu milioni 20 zaidi hamuoni aiibu ??lipeni ada wanachama muendeshe team......watu mil 20 mnasikilizia bwana mmoja
Simba mnaumizwa na vitu vidogo sanaaa
Iwe kweli au si kweli, Nipo tayari kuchangia timu yangu, hata ingekuwa wewe kwa ile burudani ya 'GUSA ACHIA TWENDE KWAO' ushindwe kuchangia chochote kweli?? Kuna shabiki wa kolo hapa anasema kwa ile burudani na yeye anaomba namba achangie! Hii iwe mfano kwa vilabu vingine tz
Daah! Imefikia hatua kila jambo letu tunalolifanya linawaumiza. Lol
Isije kuwa mmegeuka kuwa chuma uleteWafia timu wanatokwa povu na matusi wakati hili kolo wizard linachangamsha genge.
Sema umenichekesha hapo mwisho
Gusa mfuko, achia jero, tulipe madeni
Utanyoooa nin sasa na hauna nyweleNyooooo