GSM kasusa, kaona anapoteza pesa yake. Timu hata makundi inashindwa kuvuka. Tena sasa hivi anaenda gym hamna cha kumfanyaYanga ipi, hii ambayo alie kileleni akishuka anaanza kelele GSM anaharibu ligi kwa kudhamini timu kibao ?
Man of the match anakusanya maokoto kama zawadi.
Ni idea nzuri ya mashabiki kupata nafasi ya kuonyesha furaha yao,
Ni suala la muda tu, timu nyingine zitaiga
Kwenye nani zaidi mlikuwa wapi kuchangia mpaka Club ikatupa taulo?Nitafurahi kuchangia team yangu
Toa number niguse mfuko twende kwao
Nitachangia club yangu ya Yanga hadi mwishoKwenye nani zaidi mlikuwa wapi kuchangia mpaka Club ikatupa taulo?
Sio kulia,ni kweli mlikuwa mnanunua mechi na kuhonga wakina Kayoko,mbaya zaid ni pale mlipoumbuliwa kutumia dawa za kuongeza nguvu,nyie bila rushwa hamtoboiYanga ipi, hii ambayo alie kileleni akishuka anaanza kelele GSM anaharibu ligi kwa kudhamini timu kibao ?
Man of the match anakusanya maokoto kama zawadi.
Ni idea nzuri ya mashabiki kupata nafasi ya kuonyesha furaha yao,
Ni suala la muda tu, timu nyingine zitaiga
Kwa hiyo timu inashinda kwa kuhonga wakati huo huo uzi unasema imefilisikaSio kulia,ni kweli mlikuwa mnanunua mechi na kuhonga wakina Kayoko,mbaya zaid ni pale mlipoumbuliwa kutumia dawa za kuongeza nguvu,nyie bila rushwa hamtoboi
Ngoja niwasiliane na Injinia Hersi kama kweli wanashida ya pesa; nitawatumia $1,000,000 kusaidia timu yetu.Wote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu.
Sasa hivi wachezaji wameambiwa nao wachangie kwenye kibubu cha klabu ili kuokoa jahazi.
View attachment 3188755
Juzi ilikuwa zamu ya Kibwana, jana ikawa zamu ya Pacome. Vibakuli vimerudi kivingiiine.
Wamemchukua Israel Mwenda ila anazurura tu na timu maana hawezi kucheza bila kusajiliwa. Huku Mpanzu ameshaanza kukiwasha toka day 1 dirisha lilivyofunguliwa!
Hii timu dawa yao ni kuwapelekea wale jamaa wa kausha damu ndo watawaweza.
Gusa mfuko, achia jero, tulipe madeni.
Jengeni....nidhamu na mazoea luchangia team sio kutegemea bwana wenu mmoja watu milioni 20 zaidi hamuoni aiibu ??lipeni ada wanachama muendeshe team......watu mil 20 mnasikilizia bwana mmojaWote tunajua Yanga Afrika iko hali mbaya sana kifedha. Imefukuzwa Azam Complex kwa malimbikizo ya madeni. Huko FIFA na TFF imefungiwa kufanya usajili kwa sababu ya madeni sugu.