Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

Yanga imefungwa goli 11 Mapinduzi Cup

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa.

Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC

Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata la kuotea.

Aidha kombe halina mshindi wa 3.
 
Huyu golikipa wa Yanga, wenzake huwa wanazitokea penati kwa kuibia kusogea mbele, yeye anarudi nyuma 😂

1641880925741.png
 
Kama goli za hatua ya penati zinahesabika kama goli za ndani ya dakika 90 basi sina budi kumtag Aden Rage.
 
Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa...
Jumlisha na zile 4 za dada zao(Yanga Princess) juzi. Tufanye hisabati kidogo: 2KMKM+4 SIMBA QUEENS+9AZAM=15 GOALS
Conclussion: Ndani ya wiki 1 Yanga kapigwa goli 15. Anayebisha amuulize boss wa magodoro GSM
 
Mi nimeshangaa sana jana yanga tatizo ilikuwa nini maana Azam waliwadhibiti Ila Azam nao walitakiwa kumaliza game mapema
 
Back
Top Bottom