Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
hata mimi nimeonaKitu ambacho nimependezwa na hii michuano ni marefa wa zanzibar wako vizuri kiasi kuliko bara
Hahahha Noma
tumeona ukipita moroTaarifa kutoka chalinze ni kwamba ule mpira umeonekana ukielekea nyanda za juu kusini kwa kasi ya ajabu
View attachment 2076679
Kwahiyo hayo magoli 9 haikufungwa Yanga? Au Kwakua yenyewe ni ya penalty tuyaite vipi?Kama goli za hatua ya penati zinahesabika kama goli za ndani ya dakika 90 basi sina budi kumtag Aden Rage.
imefungwa mangapi?Imefunga mangapi?