OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hatari sanaNa katika hizo goli 11, goli 9 ziliingia ndani ya dakika 5 tu
Jumlisha na zile 4 za dada zao(Yanga Princess) juzi. Tufanye hisabati kidogo: 2KMKM+4 SIMBA QUEENS+9AZAM=15 GOALSMabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa...
Imefunga mangapi?Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa...
Kuna golikipa kaweka rekodi ya dunia. Kafungwa magoli 9 ndani ya dakika 5.Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa...
The return of champions [emoji23][emoji23]