Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Kwa ufupi tu ni kwamba umekiri kuwa hujui ulichokiandika na wewe ni kiande.Kuna kitu kinaitwa Google, ushawahi kukisikia?
Usipende kutafuniwa kila kitu, utakuja kutafunwa hivihivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ufupi tu ni kwamba umekiri kuwa hujui ulichokiandika na wewe ni kiande.Kuna kitu kinaitwa Google, ushawahi kukisikia?
Usipende kutafuniwa kila kitu, utakuja kutafunwa hivihivi
Acha uongo, na kutafuta sifa za kijinga! Kwa vigezo hivyo, ina maana kwa vile ligi ya ENGLAND imetoa wachezaji wengi kuliko ligi yoyote, basi hiyo ENGLAND haishikiki huko World Cup Qatar?Wapo wengi zaidi ya 7
Mkuu, umeanza ushabiki juzi juzi baada ya Manara kuhamia Utopoloni.Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi
Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi
Abeid MzibaTutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya Tunisia