Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi

Wapo wengi zaidi ya 7
Acha uongo, na kutafuta sifa za kijinga! Kwa vigezo hivyo, ina maana kwa vile ligi ya ENGLAND imetoa wachezaji wengi kuliko ligi yoyote, basi hiyo ENGLAND haishikiki huko World Cup Qatar?
Hiyo timu imetoa wachezaji wawili tu, golikipa Malez Hassen na kiungo Nader Ghandri.
 

Yanga imeifunga Club ya Tunisia, ambayo inashiriki kombe la Dunia, Malawi na Angola hazijawahi

Mkuu, umeanza ushabiki juzi juzi baada ya Manara kuhamia Utopoloni.
Angola imewahi kwenda katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 2006, huku bao lililoipeleka likifungwa na Fabrice Alcebiades Maieco maarufu kama Akwa, na kuongoza kundi kuipiku Nigeria kwa kanuni ya Head to Head
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…