[emoji23][emoji23]wabongo mna ubishoo wa kishamba kweli yani, yaani unachotaka hapa ni kusema tu kua uko S. A?Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.
Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.
Kumbe nawe Mrembo upo kwa Wananchi?Kwahiyo mashabiki wa Jangwani tukae kwa kutulia timu yetu imeshajipatia mashabiki huko kwa Madiba?
Kwahiyo mashabiki wa Jangwani tukae kwa kutulia timu yetu imeshajipatia mashabiki huko kwa Madiba?
Duu aisee ni hatari....Vipi hao waliochukuliwa mateka bado wako hai?...Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.
Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.
ππππBila shaka wewe utakuwa shabiki wa marumo wa msimbazi!Dah!! Nimeumia sana.
bila kupepesa macho, yanga wamejitahidi sana. nawashauri wakienda south this time, wakapige mpira bora kuliko ule wakijua jamaa wamewapania kuwapiga 3 bila. pia ni nafasi ya kujiuza wachezeji kimataifa. morison hana adabu wasimweke, ila aziz ki, mayele na wabongo wawepo. ila kuna falsafa moja sijaielewa kwa prof nabi, inakuwaje kila wakati kipindi cha kwanza anatoka kapa ila akirudi anafunga na kushinda, ana siri gani?Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.
Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.
Morrison haendi south ana msala kulebila kupepesa macho, yanga wamejitahidi sana. nawashauri wakienda south this time, wakapige mpira bora kuliko ule wakijua jamaa wamewapania kuwapiga 3 bila. pia ni nafasi ya kujiuza wachezeji kimataifa. morison hana adabu wasimweke, ila aziz ki, mayele na wabongo wawepo. ila kuna falsafa moja sijaielewa kwa prof nabi, inakuwaje kila wakati kipindi cha kwanza anatoka kapa ila akirudi anafunga na kushinda, ana siri gani?
huyu arudi tu kwao ghana, utovu wake wa nidhamu huwa unafuta kila umahiri alionao. hata sijui amelelewaje.Morrison haendi south ana msala kule
Wewe ndiyo mshamba angesema yanga imepata mashabiki handeni kama yupo hardening nao ungekuwa ushamba?[emoji23][emoji23]wabongo mna ubishoo wa kishamba kweli yani, yaani unachotaka hapa ni kusema tu kua uko S. A?