Yanga imeiteka Johanesburg

Yanga imeiteka Johanesburg

Mukuu123

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2019
Posts
319
Reaction score
1,223
Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.

Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.
 
Nipo hapa orenge free state

Aka DURBAN

Ni mwendo wa

[emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji3448][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
 
Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.

Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.
[emoji23][emoji23]wabongo mna ubishoo wa kishamba kweli yani, yaani unachotaka hapa ni kusema tu kua uko S. A?
 
Duu aisee ni hatari....Vipi hao waliochukuliwa mateka bado wako hai?...
 
Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.

Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.
bila kupepesa macho, yanga wamejitahidi sana. nawashauri wakienda south this time, wakapige mpira bora kuliko ule wakijua jamaa wamewapania kuwapiga 3 bila. pia ni nafasi ya kujiuza wachezeji kimataifa. morison hana adabu wasimweke, ila aziz ki, mayele na wabongo wawepo. ila kuna falsafa moja sijaielewa kwa prof nabi, inakuwaje kila wakati kipindi cha kwanza anatoka kapa ila akirudi anafunga na kushinda, ana siri gani?
 
Morrison haendi south ana msala kule
 
[emoji23][emoji23]wabongo mna ubishoo wa kishamba kweli yani, yaani unachotaka hapa ni kusema tu kua uko S. A?
Wewe ndiyo mshamba angesema yanga imepata mashabiki handeni kama yupo hardening nao ungekuwa ushamba?
 
Back
Top Bottom