Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,223
Nipo hapa Johanesburg South Africa stand ya mabasi nimekutana na wapiga debe hapa wanamkubali mnoo Mayele na wanaikubali mnoo Yanga.
Nimeshangaa sana nikatoka nikaenda Soweto kwa waliofika soweto ni pale karibu ule mgahawa wanauza soup ya kitimoto wanasema Yanga baba lao nimeamini Yanga for all Africans.