Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Kuna mtu kanidokeza kuhusu huu mpango wa mechi ya Yanga na USM Alger
Mpira wa Africa hata uwe na Quality Players lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ili utwae mataji .
Quality Players +Mbinu nje ya uwanja=Mataji ya Caf
CEO wa Yanga ana uzoefu na hizi mambo toka yupo Mazembe ,
Yanga imepata Marefa watatoka Congo, Hawa Marefa tayari watawasili Dar es Salaam kesho jioni ,kwa Marefa Hawa wacongo ambao watachezesha mechi ambayo imejaa ndugu zao kina mayere ,n.k pamoja na posho watakayopewa kusaidia upatikanaji wa Goli ,
Ili refa akutafutie mazingira ya kukubeba unatakiwa uwe na Quality player wakurahisisha hiyo kazi, Yanga wanayo tayari , Mtu Kama Morrison Ni rahisi kutengeneza penalty, ,iwapo Yanga atatoka na mtaji wa Goli 2-3 , Kombe anabeba mchana kweupe ., Mechi ya Algeria ,Yanga ataenda kukamilisha ratiba.
Unajua hii mechi ilikuwa icheze saa 1:00 usiku ?
Sasa Yanga walishaanza mipango mapema kabisa , ilikuwa hivi Yanga alijua akipita vs River united atakutana na Pyramid .Alipotoka Nigeria akiwa na mtaji wa Goli 2 , akajua mpinzani anayekuja atakuwa pyramid, Mipango ikawa Pyramid anapigwaje kwa mkapa?
Hivo Umeme kukata mechi ya Rivers pale makapa stadium ilikuwa Ni mipango ili mechi na Pyramid ,Yanga wawe na hoja mechi ichezwe saa 10:00 jioni, Kuna watu hawaelewi kuwa hata Mamelod alimtandika NATIONAL ALHLY Goli 5 ,alichezeshwa mida ya jua, Hata Wydad alichezeshwa mida ya jua ,matokeo yakaisha 2-2 kwa uzembe wao Mamelod .
Baada ya mechi na River united bahati mbaya akapita Marumo , Lakini advantage ya ule mpango haikufa,hivo inakuja kutumika mechi na USM ALGER , Yanga waliwasilisha ombi Hilo mapema wakiweka sababu Kuna matatizo ya umeme, tayari CAF wamewaruhusu Yanga wacheze mechi saa 10:00 jion
Kwa Quality ya Yanga plus Refa kutoka Congo, na Jua la saa 10:00 jion
Yanga ana advantage ya kupata Goli 2-3
Mechi ya Algeria ,Itachezwa saa 1:00 usiku
HIYO NDIO MIPANGO YA KUCHUKUA KOMBE LOLOTE AFRICA HII
BILA MIPANGO MWISHO NI ROBO FAINAL TU