Yanga imejiandaa kumaliza mechi Dar es Salaam

Siyo kweli, hapo umedanganya.
Yanga tupo bora sana msimu huu na tuna uwezekano mkuwa wa kuchukua kombe la CAF Shirikisho kutokana na ubora wa timu yetu wala si vinginevyo. Naona unaumia na unakufa kiume.

YANGA daima mbele
Na kweli ubora wa yanga tumeuona
 
Kwa msimu huu yanga imecheza MICHEZO miwili Mikubwa.

Simba na........ 2-0
Usm Algers... 2-1

Sasa nimeanza KUAMINI kuwa Simba ni timu kubwa zaidi Tanzania.
ALHALY.
Raja.
Widad.
KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
Berkane nk.

Hawa ni MABINGWA WAKUBWA.. Simba imecheza nao
 
Mbona umemsahau yule mkubwa aliyepigwa wiki: Horoya?
 
Kweli refa aliwabeba dakika 10 nzima sasa na wao Alger wameandaaa refa wao ngoja mkakandwe nasemajee Kule mtaenda kulia msianze Kuja kulalamika tu baadae hamchelewagi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa arudishee pesa za GSM, wee nyongezaa 10? Afu mpira haukuwa na tatizo lol
 
Dakika 10 za nyongeza ndizo mlizoziona, yale matukio ya mtu kulambwa kwenye box na mpira kushikwa ndani ya box hata kufanya replay kwenye VAR hamna na refa hata kusema ajiridhishe hakuna. Ni kama hakukuwa na VAR
 
Na zile offside mbili za mayele zilizofukiwa je yangekuwa magoli Yani mlibebwa lakini hamjitambui kama hukuziona zile offside kula karoti then karudie kuicheki Ile mechi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Refa arudishee pesa za GSM, wee nyongezaa 10? Afu mpira haukuwa na tatizo lol
Shenzi sana wametafuta refa mkongo na wakagongwa sasa show ipo Kule cloud la hapa kwa mkapa Kule litaitika mara 100 wanawajua hawa jamaaa walivo na vibeee wanajipa moyo watachomoa iwe Agg/3-2 labda hao waarabu wacheze Huku wakifumba macho.
 
I think CAF nao wanatamani Yanga wabebe kombe kwa sababu wanajua fika Tanzania tunavyopenda mpira wa ndani. Ikitokea Yanga wamebeba naamini hata thamani ya kombe lenyewe itapanda maana sherehe itakayo fanyika itakuwa gumzo.
Kombe liwepo tangu 2004 kisha nyinyi ndio mje kulipandisha thamani, mnapandisha nini?

[emoji23][emoji23]
 
Shenzi sana wametafuta refa mkongo na wakagongwa sasa show ipo Kule cloud la hapa kwa mkapa Kule litaitika mara 100 wanawajua hawa jamaaa walivo na vibeee wanajipa moyo watachomoa iwe Agg/3-2 labda hao waarabu wacheze Huku wakifumba macho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom