Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.

 
Utopolo bila penati na goli la offside ni gwambina Tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Njoo na uchambuzi offside ilikuwa wapi?
Goli la Simba dhidi ya Ihefu ilikuwa la penati hivyo nenda ukalifute
 
Goli Safi Leo lilikuwa La Fred tu.....!

Mkimaliza Ligi Muwashukuru na Marefa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…