Yanga imekaidi agizo halali la Serikali, hatua kali zichukuliwe dhidi yake

Mkuu kwani Azam na Geita nao walipewa agizo na waziri?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
me naona aya maswala ya michezo (Soccer). yawekw mbal na shughul za kisiasa km fifa ynyew inavytaka
 
hapo kwa Ivory Coast umekosea, Rais alikuwa marehemu Robert Guaye.
Unaelekeza MBUMBUMBU, kama hautapasuka misuli ya ubongo kwa kutumia akili mingi kupita uwezo wako nimekaa pale niite Baba Lao [emoji117][emoji143][emoji23]
 
MAKOLOKOLO ni mambumbumbu yanayohitaji psychogical treatment maana hayaamini tangu 2019 hayajawahi kumfunga YANGA kwenye ligi kuu Bara [emoji28]
 
Kocha wetu ni mswahili anajua michongo yenu yote harafu ni mtoto wa Tanga mlogeee weee ila jamaa halogeki na timu keshaiweka sawa.kaena na panadol tu maaana tunakuja kuutoa mwiko nyuma bila nganzi
MAKOLO wenyewe mlishinda kimchongo kule Angola baada ya kumuhonga Refa mahela akawanyima De Agosto penalty halali ya wazi kabisa na kukataa goli halali la kusawazisha [emoji16]

Uzuri mwisho wa fitina zenu MBUMBUMBU huwa unajulikana ni swala la muda tu [emoji38]
 
Mifano Yako yoote imejikita kwenye timu za taifa ambazo kiuhalisia serikali ndio hughalamia Kambi zao na ghalama nyinginezo.

Bahati mbaya umekuja kufananisha na klabu! Ambayo kiuhalisia serikali haijaweka hata mia yake. Sasa Kwa mantiki hiyo serikali haiwezi kuwa na mandates za kuiadhibu klabu yoyote.
 
Acha unaaa tuna makombe mawili champion na FA lzm tucheze mechi za makombe yote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Agizo la Naibu Waziri kwamba "lazima mshinde" ni batili. Halitekelezeki na hakuna chombo cha taifa cha kufuatilia utekelezaji wake. Afadhali angesema mkishindwa mlipe faini kiasi kadhaa. Hilo linatekelezeka.
 
Mtu unalala njaa,badala utafute chakula unakaa kuandika uharo mitandaoni! CCM hamjawahi kuwa na akili.
 
Ila kuna watu ni mattercall kabisa!

1. Yanga ilipotolewa safari hii ndipo ambapo mwaka jana Simba ilipotolewa na kwenda shirikisho na hatimae ikafika robo fainali ya shirikisho. Yanga kutolewa isiwe hoja sana kuwapanikisha wasemwe vizuri ili wafanye vizuri shirikisho hata zaidi ya Simba mwaka jana. Kila kiti kinawezekana kwa kikosi walicho nacho

2. Al Hilary sio sawa na wale viwete wa Angola walifungwa na Simba. Nina uhakika kama Yanga wangepangiwa wale viwete wa Angola na Simba wakapewa Al Hilary story ingekuwa tofauti sana. Wale viwete waliofungwa 3-0 na Simba wangepigwa na Yanga kama walivyopigwa wale jamaa weusi wa Sudan kusini Zalan, na Simba angekuwa ametolewa ukizingatia Al Hilary wametoka kumpa kichapo cha 1-0 Simba mwezi mmoja tu uliopita[emoji2]

3. Kwa Yanga ni hatua ya ku grow, maana walipoishia mwaka jana sipo walipoishia mwaka huu. Mwaka jana nyote mnakumbuka Yanga alitolewa round ya kwanza kabisa na Rivers United hatua ya kwanza kabisa kwa kufungwa nyumbani na ugenini. Mwaka huu Yanga imesogea round ya pili. Hili ni jambo la kujivunia kwa Yanga. Wakijipanga zaidi mwakani wanaingia makundi. Tujifunza kuwa positive kuzipa hamasa timu zetu sio kuwafanya wakose confidence.

4. Hakuna mtu ana uhakika kati ya Simba na Yanga nani atafika mbali zaidi kimataifa. Kuingia kwa Simba kwenye makundi ya Champions League hakumaanishi ni lazima atafika mbali. Anaweza kutolewa hapo hapo kwenye makundi na bado Yanga akafika mbali zaidi shirikisho. Hivyo bado ni mapema, kelele zisiwe nyingi.

5. Kuna mbuzi wanamlaumu Nabi kwa kufungwa MECHI MOJA TU! Hivi nyie watu sijui mkoje! Mechi zoteeee alizoshinda alikuwa kocha mzuri! Aliposimama timu imeshafungwa akafanya sub na zikaleta matokeo alikuwa kocha mzuri. Wakati mnawapiga Zalan goli 9 alikuwa kocha mzuri ila wakati ana droo na Hilary na kufungwa moja kwa shida amekuwa kocha mbaya ghafla. Tujifunze kupenda mpira zaidi kuliko team. Al Hilary sio timu ya kufungwa kirahisi. Tambua unacheza na nani
 
Ujinga ni mzigo huyu kapata wapi mda wa kuandika upuuzi huu mrefu hivi?
 
Mada nyingine za kipumbafu tuu. Kwani serikali inawalipa yanga? Majitu mengine bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…