Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani Azam na Geita nao walipewa agizo na waziri?Halafu mkiitwa mbumbumbu, eti mnakasirika!
Yaani wasiwekwe kikaangoni Azam na Geita Gold waliotokewa moja kwa moja kwenye mashindano! Achilia mbali zile takataka nyingine za kule Visiwani!
Badala yake wawekwe Yanga ambao wanaendelea na mashindano ya Kombe la Shirikisho!
me naona aya maswala ya michezo (Soccer). yawekw mbal na shughul za kisiasa km fifa ynyew inavytakaWakuu kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sheria ningependa niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nijikite kwenye mada,
Mnamo tarehe 24 Juni, 2010 mshambuliaji na nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Thiery Henry aliitwa na kuwekwa kikaangoni na Rais wa Ufaransa wa wakati huo Nicolas Sarkozy aandike insha isiyopungua maneno 2000 juu ya kwa nini walivurunda kwenye fainali ya Kombe la Dunia kwa mwaka huo.
Kana kwamba haitoshi Serikali ilionyesha karipio lao kwa timu kwa kuisafirisha timu yote na benchi la ufundi kwa tiketi za "Economy class" ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.
Ili kuonyesha kwamba mambo hayo siyo mageni, tukirudi nyuma kidogo mnamo mwaka 1994 na 1998 kwenye Makombe ya Dunia (la Marekani na Ufaransa), nchini Iraq nako mambo yalikua si shwari kwa timu ya nchi hiyo iliyokua inapambania kufuzu fainali hizo, ambapo mtoto wa kiume wa Saddam Hussein bwana Uday yeye alianzisha Guantanamo ya kimichezo kwenye floo ya chini katika jengo la Kamati ya Olimpiki ya nchi hiyo.
Bwana Uday aliwasweka wachezaji kwenye chemba hizo za mateso mara kwa mara na kuwatishia kuwakata miguu na kuitupa kwa mbwa wakali waliozunguka chemba hiyo ya mateso.
Sambamba na hilo mwaka 2000 nchini Ivory Coast kwenye harakati za kufuzu AFCON mtawala wa kijeshi wa wakati huo ambaye sasa ndiye Rais wa nchi hiyo, aliisweka timu yote pamoja na viongozi wake kwenye kambi ya kijeshi, wakapewa msoto mkali baada tu ya kutolewa kwenye raundi ya kwanza ya michuano hiyo ya Mataifa ya Afrika.
Sambamba na hilo, hivi majuzi waziri wa nchi mwenye dhamana ya michezo Mohamed Mchengerwa alitoa agizo zito kutoka Serikalini kwenda kwa Klabu ya Yanga, kwamba Serikali inaiagiza Yanga kwamba ni lazima ikashinde mechi yake ya marudiano dhidi ya Wasudan.
Na kwa kuSa Dar es salaam Young Africans ilienda Sudan kuliwakilisha taifa, pengine ndiyo hasa msingi wa kauli ya kiongozi huyu mkubwa wa nchi kuipa agizo hili Yanga ambalo kiukweli limegeuka kuwa mzigo mzito kwa timu pamoja na uongozi.
Sasa kwa kuwa Rais wa Yanga alisikika akipokea maagizo hayo ya Serikali na kuahidi kuyatekeleza, ni wakati muafaka sasa kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuipa adhabu nzito timu ya Jangwani kwa kushindwa kutekeleza au kupuuzia maagizo ya nchi.
Mchengerwa kuwaacha Yanga hivi hivi ni kutengeneza "Double standards" na kukufanya upuuzwe hata wakati mwingine ukitoa maagizo kwa wengine yatapuuzwa tu!
Napendekeza uongozi wa Yanga wakiwemo Injinia na Profesa na wachezaji wote akiwemo Mwamnyeto na Mayele, wapelekwe Kambi ya Lugalo kwa walau wiki moja wakapigwe "Rolling" na kata tumbo ya kufa mtu ili iwe fundisho kwa timu za nchi hii kuliletea taifa aibu.
Ikumbukwe pia Yanga imeshindwa kuakisi harakati za Rais Samia za Royal Tour za kuitangaza nchi yetu kimataifa kwa mara ya pili mfululizo. Sasa jambo ambalo halivumiliki hata kidogo, kwani hali hii inachangia kudidimiza sekta ya utalii nchini.
Nawasilisha.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Unaelekeza MBUMBUMBU, kama hautapasuka misuli ya ubongo kwa kutumia akili mingi kupita uwezo wako nimekaa pale niite Baba Lao [emoji117][emoji143][emoji23]hapo kwa Ivory Coast umekosea, Rais alikuwa marehemu Robert Guaye.
MAKOLOKOLO ni mambumbumbu yanayohitaji psychogical treatment maana hayaamini tangu 2019 hayajawahi kumfunga YANGA kwenye ligi kuu Bara [emoji28]Swali lingine wakati wao wanaenda kulitia taifa aibu kwa kupokea zile KHAMSA ugenini nani aliwachukulua hatua. Kwa akili zao walidhani Yanga anaenda kufa goli si chini ya 4 ndio wanaumia kuliko hata Yanga yenyewe iliyofungwa.
Ni mada ya kipumbavu iliyoletwa kuchangamsha genge
Sent using Jamii Forums mobile app
MAKOLO wenyewe mlishinda kimchongo kule Angola baada ya kumuhonga Refa mahela akawanyima De Agosto penalty halali ya wazi kabisa na kukataa goli halali la kusawazisha [emoji16]Kocha wetu ni mswahili anajua michongo yenu yote harafu ni mtoto wa Tanga mlogeee weee ila jamaa halogeki na timu keshaiweka sawa.kaena na panadol tu maaana tunakuja kuutoa mwiko nyuma bila nganzi
NAKAZIA wa4 ni MAKOLOKOLO A.K.A MBUMBUMBU [emoji13]Kati ya Watanzania 10, wanne ni wagonjwa wa akili
Agizo la Naibu Waziri kwamba "lazima mshinde" ni batili. Halitekelezeki na hakuna chombo cha taifa cha kufuatilia utekelezaji wake. Afadhali angesema mkishindwa mlipe faini kiasi kadhaa. Hilo linatekelezeka.Wakuu kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sheria ningependa niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nijikite kwenye mada,
Mnamo tarehe 24 Juni, 2010 mshambuliaji na nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa Thiery Henry aliitwa na kuwekwa kikaangoni na Rais wa Ufaransa wa wakati huo Nicolas Sarkozy aandike insha isiyopungua maneno 2000 juu ya kwa nini walivurunda kwenye fainali ya Kombe la Dunia kwa mwaka huo.
Kana kwamba haitoshi Serikali ilionyesha karipio lao kwa timu kwa kuisafirisha timu yote na benchi la ufundi kwa tiketi za "Economy class" ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo.
Ili kuonyesha kwamba mambo hayo siyo mageni, tukirudi nyuma kidogo mnamo mwaka 1994 na 1998 kwenye Makombe ya Dunia (la Marekani na Ufaransa), nchini Iraq nako mambo yalikua si shwari kwa timu ya nchi hiyo iliyokua inapambania kufuzu fainali hizo, ambapo mtoto wa kiume wa Saddam Hussein bwana Uday yeye alianzisha Guantanamo ya kimichezo kwenye floo ya chini katika jengo la Kamati ya Olimpiki ya nchi hiyo.
Bwana Uday aliwasweka wachezaji kwenye chemba hizo za mateso mara kwa mara na kuwatishia kuwakata miguu na kuitupa kwa mbwa wakali waliozunguka chemba hiyo ya mateso.
Sambamba na hilo mwaka 2000 nchini Ivory Coast kwenye harakati za kufuzu AFCON mtawala wa kijeshi wa wakati huo ambaye sasa ndiye Rais wa nchi hiyo, aliisweka timu yote pamoja na viongozi wake kwenye kambi ya kijeshi, wakapewa msoto mkali baada tu ya kutolewa kwenye raundi ya kwanza ya michuano hiyo ya Mataifa ya Afrika.
Sambamba na hilo, hivi majuzi waziri wa nchi mwenye dhamana ya michezo Mohamed Mchengerwa alitoa agizo zito kutoka Serikalini kwenda kwa Klabu ya Yanga, kwamba Serikali inaiagiza Yanga kwamba ni lazima ikashinde mechi yake ya marudiano dhidi ya Wasudan.
Na kwa kuSa Dar es salaam Young Africans ilienda Sudan kuliwakilisha taifa, pengine ndiyo hasa msingi wa kauli ya kiongozi huyu mkubwa wa nchi kuipa agizo hili Yanga ambalo kiukweli limegeuka kuwa mzigo mzito kwa timu pamoja na uongozi.
Sasa kwa kuwa Rais wa Yanga alisikika akipokea maagizo hayo ya Serikali na kuahidi kuyatekeleza, ni wakati muafaka sasa kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuipa adhabu nzito timu ya Jangwani kwa kushindwa kutekeleza au kupuuzia maagizo ya nchi.
Mchengerwa kuwaacha Yanga hivi hivi ni kutengeneza "Double standards" na kukufanya upuuzwe hata wakati mwingine ukitoa maagizo kwa wengine yatapuuzwa tu!
Napendekeza uongozi wa Yanga wakiwemo Injinia na Profesa na wachezaji wote akiwemo Mwamnyeto na Mayele, wapelekwe Kambi ya Lugalo kwa walau wiki moja wakapigwe "Rolling" na kata tumbo ya kufa mtu ili iwe fundisho kwa timu za nchi hii kuliletea taifa aibu.
Ikumbukwe pia Yanga imeshindwa kuakisi harakati za Rais Samia za Royal Tour za kuitangaza nchi yetu kimataifa kwa mara ya pili mfululizo. Sasa jambo ambalo halivumiliki hata kidogo, kwani hali hii inachangia kudidimiza sekta ya utalii nchini.
Nawasilisha.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Mtu unalala njaa,badala utafute chakula unakaa kuandika uharo mitandaoni! CCM hamjawahi kuwa na akili.Wakuu kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sheria ningependa niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Ila kuna watu ni mattercall kabisa!Wakuu kwa kuwa nchi yetu inafuata utawala wa sheria ningependa niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.