Gamondi anapanga wachezaji kulingana na upinzani .Selection ya Gamond siku za karibuni imekuwa mbovu, Clement mzize ni complete package ila utashangaa anaanza Dube.
Timu inatakiwa ijengwe kumzunguka Pacome ila unashangaa hata benchi hayupo..
Peleka timu Yako ili ukutane na iyo declinetionNdio maana tuliitwa akili mbili. Timu ipo kwenye decline ila popoma kama wewe unaona mambo yako sawa?
Mkuu acha Ubishi,sote mpira tunaangalia,Ukweli ni kwamba,Yanga kwasasa hawachezi vizuri!Performance imepungua eneo gani? Mimi naiona timu ipo vizuri, ni eneo dogo sana la ushambuliaji basi, ila kudominate timu inadominate nafasi inatengeneza nyingi, issue ni kuzitumia.
Lkn sioni ubovu kabisa sababu nao wachezaji wanacheza kitimu, huu mpira sio kila siku ni jpili.Mfano mechi mbili za kwanza ni umahili wa makipa wa wapinzani,huwezi kuwalaumu sana washambuliaji sababu hata kipa alifanya kazi yake vizuri.
Barca kashinda goli zaidi ya tatu mechi za mwanzo alizo cheza jana kala nne, Madrid mechi tatu za mwanzo mbili kadroo moja kashinda tatu moja ila kwa mbinde dk za jioni. Ndio mpira haiwezekani kila siku ushinde tano tano,hiyo itakuwa si ligi bali upuuzi.
Yanga ya Nabi iliyo chukua ubingwa mara mbili mfululizo, mechi ilizoshinda goli zaidi ya tatu zilikiwa mechi chache sana,ila timu ikachukua ubingwa na misimu yote miwili Yanga ya Nabi iliyo chukua ubingwa ilizidiwa magoli. Ila ndio mshasahau,mtaanza kupressurize kocha.
Kuna kipindi nilikiwa na bishana sana na mashabiki wa Yanga kipindi kile Yanga ,anatolewa Championship na kurudi shirikisho, nilikuwa na bishana sana humu. Uzuri Nabi akashinda tena ugenini na kuingia makundi,kwenye makundi napo mechi ya kwanza tulipigwa, akaja kushinda kwenye mechi na Mazembe ambayo watu waliiona Yanga hatoki na Nabi nae baada ya ile mechi, akawapa makavu kuanzia waandishi, wachambuzi na mashabiki waliokuwa wakimpressurize.Mwambie mleta mada aelewe, yani alitaka kila siku Yanga ampige mtu Hamsa Hamsa.
Unajua mazoezini wanaperform vip mbona unataka kumpangia kocha? Sawa je Nabi alikuwa anashinda ngapi? Kwani Gamondi timu hii aliachiwa na nani? Si Nabi akaibadilisha tokea timu inayo shinda goli chache na kushinda goli nyingi. So hata sasa uwezo huo bado anao, ila huu ni mpira kila siku sio jumapili yaani mechi tatu mshaanza kumtoa thamani, kocha ni sawa na kipindi kile mlivyo mtoa thamani Nabi baada ya kutolewa na Al Hilal ,ila akaja wapeleka fainali.Mkuu acha Ubishi,sote mpira tunaangalia,Ukweli ni kwamba,Yanga kwasasa hawachezi vizuri!
Hatuitaji timu ishinde Magoli mengi but mpira uonekane!
Yanga kwasasa inakosa kuwapa pressure wapinzani,mipira mingi wanarudisha nyuma badala ya kupeleka pressure Kwa mpinzani!,Ile timu ya miezi michache nyuma ambayo ilikuwa ikiwapa presha wapinzani Sasa hivi ni kama imefifia!
Pia Gamondi abadilike,aanze kuwaamini wachezaji,sijaona sababu ya Aucho Leo Kucheza,nje una Sure boy na Mkude!
Akiendelea kukaza fuvu na style yake hii ya Uchezaji,Ubingwa utakuwa historia!
Nasredin Nabi alikuwa hatabiriki,japo alikuwa na wachezaji wa kawaida lakini kila Mchezaji alipata nafasi ya Kucheza na akaonyesha Ubora wake!,Tatizo la Gamondi anatabirika na ndiyo maana makocha wengi wameshamsoma!
Nabi alikuwa akikubadilishia wachezaji wawili tu kila kitu kinabadilika,huyu Gamondi yeye akibadili Mchezaji hakuna kinachobadilika!
Performance imepungua kwenye nini? hivi KMC unawachukulia simple?Sizungumzii matokeo, Performance wise timu yetu ime drop kwenye mechi za hivi karibuni, na iyo ni ishara tunaelekea kusikofaa.. Time will tell
Kama timu yako haija fungwa na Yanga nyoosha mkonoTechnically kiuchambuzi bila upendeleo yanga hamna timu pale
Mkuu,tatizo siyo kushinda goli moja moja kama usemavyo!Kuna kipindi nilikiwa na bishana sana na mashabiki wa Yanga kipindi kile Yanga ,anatolewa Championship na kirudi shirikisho, nilikuwa na bishana sana humu. Uzuri Nabi akashinda tena ugenini na kuingia makundi,kwenye makundi napo mechi ya kwanza tulipigwa, akaja kushinda kwenye mechi na Mazembe ambayo watu waliiona Yanga hatoki na Nabi nae baada ya ile mechi, akawapa makalu kuanzia waandishi, wachambuzi na mashabiki waliokuwa wakimpressurize.
Huu mpira kila siku sio Jumapili, mbona ushindi huu wa goli moja moja ,mbili moja ndio ulikiwa ushindi wa Nabi na timu ikabeba.
Mkuu naona wewe huelewi tunachozungumzia!Unajua mazoezini wanaperform vip mbona unataka kumpangia kocha? Sawa je Nabi alikuwa anashinda ngapi? Kwani Gamondi timu hii aliachiwa na nani? Si Nabi akaibadilisha tokea timu inayo shinda goli chache na kushinda goli nyingi. So hata sasa uwezo huo bado anao, ila huu ni mpira kila siku sio jumapili yaani mechi tatu mshaanza kumtoa thamani, kocha ni sawa na kipindi kile mlivyo mtoa thamani Nabi baada ya kutolewa na Al Hilal ,ila akaja wapeleka fainali.
Yaani mechi tatu mshamuona kocha hafai, mechi tatu za Mwanzo Madrid bingwa wa UEFA na laliga anawachezaji wazuri wachanga wenye ozoefu,kaongeza na Mbappe ila mechi mbili kadroo na moja alishinda ila kwa tabu tena dk za jioni mdaa huu anacheza Madrid Derby anaongoza goli moja dk ya 88 ugenini.Vip unataka kusema Don Carlo alikuwa hafanyi rotation ya kikosi.
Yanga kwanza akishinda tano tano sizani kama nitakuwa na mda hata wa kulipia King'amuzi au kwenda uwanjani maana hata upinzani utakuwa hamna.
Mechi zenyewe ngapi za kumuhukumu kocha? Yaani hizi mechi tatu ndio umtoe kocha thamani?Mkuu,tatizo siyo kushinda goli moja moja kama usemavyo!
Hata wakati wa Nabi tulikuwa tunashinda hivyo hivyo Kwa taabu na tukawa mabingwa!
Tatizo mbinu za Gamondi Huwezi fananisha na Nabi,Gamondi mbinu zake ni open mno na makocha wengi hapa ndani wameshazisoma,ni tofauti na Nabi,Nabi alikuwa akifanya mabadiliko ya Mchezaji mmoja tu kikosi kizima kinabadilika kiuchezaji na inakuwa hatari sana!
Gamondi yeye akifanya mabadiliko unakuta mambo ni yale Yale tu!
Kimataifa Gamondi atafanya vizuri kwasababu ni timu ambazo tunakutana nazo mara moja,lakini humu ndani Gamondi atapata taabu sana kwasababu makocha wengi wameshamsoma!
Kwasababu timu pinzani Kucheza Kwa kupaki bus wameshaelewa kabisa kwamba wakipaki bus Kwa mbinu za Gamondi hawezi kupangua kwasababu Hana wachezaji wa kulazimisha!
Wachezaji kama AZIZ KI,NZENGELI,MUDATHIR,CHAMA na DUBE,yaani ilitakiwa wakifika ndani ya eneo la 18 la mpinzani wawe wakatili kupita maelezo hata kama wasipofunga lakini kila mtu atakuwa ameona hatari walizosababisha!
Lakini ukiwangalia hao wachezaji ndiyo kwanza wanaongoza Kwa kutoa na Kucheza maboko!,that's why timu zinapaki bus kwakuwa wanajua Kwa wachezaji hao wa Yanga hakuna wa kuwasumbua!
UMEMALIZA KILA KITU!.Kinachomtokea Gamond saizi ndio kilichomtokea Rhulan Mokwena.
Baada ya kucheza na Yanga kila mtu akajua kumbe hawa ukipaki Semi hawaendi ikawa ngumu tena kwao kushinda ndo mana jamaa wamemtoa!
Gamond ligi kuu wameshamsoma ukichanganya na wachezaji nao wanaugua homa ya kikosi kipana hawana jitihada zaidi...
Yani kimataifa wakitusoma kama walivyotusoma ligi kuu tumekwisha
Watanzania Sisi wajuaji Sana hatuheshimu kazi za watu, kwahiyo wewe Unajua mpira KULIKO gamondi, kwamba yeye hajui kitu hawazi kuhusu kusomwa na wapinzaniMkuu,tatizo siyo kushinda goli moja moja kama usemavyo!
Hata wakati wa Nabi tulikuwa tunashinda hivyo hivyo Kwa taabu na tukawa mabingwa!
Tatizo mbinu za Gamondi Huwezi fananisha na Nabi,Gamondi mbinu zake ni open mno na makocha wengi hapa ndani wameshazisoma,ni tofauti na Nabi,Nabi alikuwa akifanya mabadiliko ya Mchezaji mmoja tu kikosi kizima kinabadilika kiuchezaji na inakuwa hatari sana!
Gamondi yeye akifanya mabadiliko unakuta mambo ni yale Yale tu!
Kimataifa Gamondi atafanya vizuri kwasababu ni timu ambazo tunakutana nazo mara moja,lakini humu ndani Gamondi atapata taabu sana kwasababu makocha wengi wameshamsoma!
Kwasababu timu pinzani Kucheza Kwa kupaki bus wameshaelewa kabisa kwamba wakipaki bus Kwa mbinu za Gamondi hawezi kupangua kwasababu Hana wachezaji wa kulazimisha!
Wachezaji kama AZIZ KI,NZENGELI,MUDATHIR,CHAMA na DUBE,yaani ilitakiwa wakifika ndani ya eneo la 18 la mpinzani wawe wakatili kupita maelezo hata kama wasipofunga lakini kila mtu atakuwa ameona hatari walizosababisha!
Lakini ukiwangalia hao wachezaji ndiyo kwanza wanaongoza Kwa kutoa na Kucheza maboko!,that's why timu zinapaki bus kwakuwa wanajua Kwa wachezaji hao wa Yanga hakuna wa kuwasumbua!
Mkuu hebu waambie hawa watu, Nilichogundua mashabiki wengi wa Yanga hawapo tayari kuikosoa timu yao hata pale inapofaanya vibaya na ukiikosoa unaonekana wewe ai mwenzaoMkuu acha Ubishi,sote mpira tunaangalia,Ukweli ni kwamba,Yanga kwasasa hawachezi vizuri!
Hatuitaji timu ishinde Magoli mengi but mpira uonekane!
Yanga kwasasa inakosa kuwapa pressure wapinzani,mipira mingi wanarudisha nyuma badala ya kupeleka pressure Kwa mpinzani!,Ile timu ya miezi michache nyuma ambayo ilikuwa ikiwapa presha wapinzani Sasa hivi ni kama imefifia!
Pia Gamondi abadilike,aanze kuwaamini wachezaji,sijaona sababu ya Aucho Leo Kucheza,nje una Sure boy na Mkude!
Akiendelea kukaza fuvu na style yake hii ya Uchezaji,Ubingwa utakuwa historia!
Nasredin Nabi alikuwa hatabiriki,japo alikuwa na wachezaji wa kawaida lakini kila Mchezaji alipata nafasi ya Kucheza na akaonyesha Ubora wake!,Tatizo la Gamondi anatabirika na ndiyo maana makocha wengi wameshamsoma!
Nabi alikuwa akikubadilishia wachezaji wawili tu kila kitu kinabadilika,huyu Gamondi yeye akibadili Mchezaji hakuna kinachobadilika!
Defence ya Yanga inapitika kirahisi sana, ni umakini mdogo wa washambuliaj wa KMC ndio umepelekea clean sheet kwa Diara leo. Ukija kweny build up hapo ndo tunazidi kupotea.. Mpinzani akipaki bus kwisha habari yetu.. tuna bakia kupiga back pass tu muda uendePerformance imepungua kwenye nini? hivi KMC unawachukulia simple?