Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Has the team not won? This isn’t about me, and it's not personal. Did the team underperform? If not, why comment as though the team is at its worst? Are you considering the opponents? Do you see that they recognized how strong Yanga is, which is why they focused so heavily on defending their goal? When you’re analyzing a match, you have to consider both sides, not just your own. We’ve got to give credit where it’s due.
I have suggested that, they need to "practice more" on how to penetrate low blocking team.
Attached here to, is my comments, (bellow is what I wrote)

Yanga wanahitaji kufanya mazoezi ya kutosha jinsi ya kupangua ngome ya watu 10, how to penetrate low blocking team
 
Sasa Dube anamzidi nini Mzize au mnapenda tu kuwakuza watu?
Clement Mzize ndio mshambuliaji bora zaidi ndani ya Yanga kwa sasa akifuatiwa na Baleke
Pole sana, kama mzize angekuwa bora dube asinge sajiliwa, or kuanzia benchi.
Chances ngapi dube ana convert kupata goli vs mzize?
Postioning wise? Danger threat level kwa dube ni kubwa zaid kuliko mzize

mzize anendelee kujiona kinda, muda hamsubiri
 
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.

Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.

Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...

Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
Wazo zuri sana, it is said, to get to the top is easier than to stay at the top. Hivyo Yanga ijitafakari, mwenendo ni wa kusuasua, kikosi ni kipana wengine pia kina Shehani, Baleke, Nondo, Gift, Kibwana, Kibababage na Mkude pia wacheze maana hawajulikani sana uchezaji wao na hawatakamiwa. Kuchezesha wachezaji wale wale kila siku nao ni binadamu wanachoka na pia wanajisahau, kugombea namba husaidia kuboost morale!!

But ni vizuri pia kuona timu zikiikamia sana Yanga maana zinaiimarisha na kuwa timu ngumu zaidi kuifunga. Dawa ni Yanga kuvifunga kibabe hivi vitimu na kuwa imara kama chuma sababu makombe yote mali ya Yanga.

Huu ni wakati Yanga itangaze kwa wachezaji kuwa kila mechi mbele yao ni fainali na kombe liko uwanjani.

Mkakati wa kuchukua points 6 za Simba uanze sasa muda huu now now maana Azam si competitor tena hajiwezi. Points 6 za Simba ndo zimebeba ubingwa wetu wa nne maana Simba kila mechi inabebwa.
 
Nenda kafundishe wewe unaandika gazeti refu hata danadana hujawahi kupiga jinga sana wewe yanga sio ya baba Yako acha shobo nayo
Endelea kunifuatilia na kunitukana,wewe si ni bingwa wa matusi!?
 
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.

Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.

Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...

Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
Labani og redio zipompa Aleyn
 
Bila mbeleko yanga ni weupe sana
 
Unataka kila siku timu ishinde goli nyingi kwani wenzake anaocheza nao wamesimama, wanakula mishahara wale lazima wapambane.

Timu zote alizo cheza nazo Yanga zinapaki bus. Msikalili mpira kila siku sio Jumapili KMC nao wanalipwa mishahara kama Yanga.

Barca kazipiga timu goli zaidi ya tatu mechi za mwanzo jana kala nne, Madrid mechi tatu za mwanzo mbili kadroo moja kashinda tatu moja ila kwa minded dk za jioni. Ndio mpira haiwezekani kila siku ushinde tano tano,hiyo itakuwa ligi au upuuzi.
Wasipoelewa hapa hawatokaa waelewe tena.
Yanga bingwa
 
Wazo zuri sana, it is said, to get to the top is easier than to stay at the top. Hivyo Yanga ijitafakari, mwenendo ni wa kusuasua, kikosi ni kipana wengine pia kina Shehani, Baleke, Nondo, Gift, Kibwana, Kibababage na Mkude pia wacheze maana hawajulikani sana uchezaji wao na hawatakamiwa. Kuchezesha wachezaji wale wale kila siku nao ni binadamu wanachoka na pia wanajisahau, kugombea namba husaidia kuboost morale!!

But ni vizuri pia kuona timu zikiikamia sana Yanga maana zinaiimarisha na kuwa timu ngumu zaidi kuifunga.

Huu ni wakati Yanga itangaze kwa wachezaji kuwa kila mechi mbele yao ni fainali na kombe liko uwanjani.

Mkakati wa kuchukua points 6 za Simba uanze sasa muda huu now now maana Azam si competitor tena hajiwezi. Points 6 za Simba ndo zimebeba ubingwa wetu wa nne maana Simba kila mechi inabebwa.
Hivi Gift Fred bado yupo?
 
Back
Top Bottom