Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
I hope soHivi Gift Fred bado yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hope soHivi Gift Fred bado yupo?
Sijamuona msimu huuI hope so
Umemjibu vizuri kapo na kadada kingine pia nako ni ushabiki maandazi tu mpira hakuna kitu wao huibuka kwenye matukio tu hovyo kabisa..Dada yangu wewe mweupe sana kwenye mpira sina cha kukujibu na sina mpango wa kureply comments zako nilisha kuambiaga.
Nauelewa mpira kuliko kitu chochote kile,miaka zaidi ya ishirini na fuatilia ligi zaidi ya nne, so hauna cha kuniambia kwenye mpira.Mimi sio oya oya.
Me nakuona una matatizo ya kufikiri?check Man City utasema mbovu? check Bayern Munich utasema mbaya? maccabi telaviv mbovu?futilia michezo vizuriHuu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafa
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.
Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.
Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...
Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
nikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.
Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.
Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...
Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
Unapoongolea swala la Yanga kushuka kiwango unazungumza kwenye angle ipi?Mkuu hebu waambie hawa watu, Nilichogundua mashabiki wengi wa Yanga hawapo tayari kuikosoa timu yao hata pale inapofaanya vibaya na ukiikosoa unaonekana wewe ai mwenzao
Boraa umemuuliza.Dooh kwahiyo timu nyingine zikiambulia goli moja au mawili ni mbovu, ila yanga ikiambulia hivyo hakuna shida ndio mpira huo, kumbe taratibu mnaanza kuelewa kuwa ubora wa timu siyo kufunga goli nyingi tu
Ndo ukikosaga hoja huwa unatoa maneno ya kejeri kwa muhusika.Dada yangu wewe mweupe sana kwenye mpira sina cha kukujibu na sina mpango wa kureply comments zako nilisha kuambiaga.
Nauelewa mpira kuliko kitu chochote kile,miaka zaidi ya ishirini na fuatilia ligi zaidi ya nne, so hauna cha kuniambia kwenye mpira.Mimi sio oya oya.
Umemalizaaa kila kitu.Kinachomtokea Gamond saizi ndio kilichomtokea Rhulan Mokwena.
Baada ya kucheza na Yanga kila mtu akajua kumbe hawa ukipaki Semi hawaendi ikawa ngumu tena kwao kushinda ndo mana jamaa wamemtoa!
Gamond ligi kuu wameshamsoma ukichanganya na wachezaji nao wanaugua homa ya kikosi kipana hawana jitihada zaidi...
Yani kimataifa wakitusoma kama walivyotusoma ligi kuu tumekwisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kalale we mzee
Furaha yako muda mda si mrefu utarudi kwenye default yako ya kila siku.Ndo ukikosaga hoja huwa unatoa maneno ya kejeri kwa muhusika.
Sijui huwa ukifanya hvyo, ndo unahisi km vile wee mjanja na mjuaji.
Kumbee huna lolotee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh inashangaza mipira iliyopigwa langoni kwa Yanga jana yote ni njee ya kumi na nane sasa utashangaa jamaa linasema beki za Yanga zinapitika kirahisi mpira ni mchezo mgumu sana..Mashambulizi ya jana ya KMC ni mashuti mawili ya Long Range, sasa hapa unamlaumu beki anapitika kirahisi,mtu kapiga mita zaidi ya thelathini, halafu unasema wanapitika how.Nyie wengine mpira sijui mnaangaliaje,long range unamlaumu beki....... duu.
Huu uzi wako nitakukumbusha baada mechi chache tu zijazo.
Hawa ndio mashabiki sasa wanaomkosoa Gamondi na ukiwauliza nin kifanyike watakuambia kwann asianze skudu,Guede kwasababu hawajazoeleka uchezaji wao..Hivi Gift Fred bado yupo?
Kazi ya kocha ni kuitoa timu nyuma mpka kwenye box swala la kufunga ni la mchezaji, timu ina posses, inajilinda inafanya transition unamulamu kocha kwa lipi? By the way KMC unawachukulia aje? Huyo kocha wa KMC ndio sio Mgunda ni kocha hasaMkuu,tatizo siyo kushinda goli moja moja kama usemavyo!
Hata wakati wa Nabi tulikuwa tunashinda hivyo hivyo Kwa taabu na tukawa mabingwa!
Tatizo mbinu za Gamondi Huwezi fananisha na Nabi,Gamondi mbinu zake ni open mno na makocha wengi hapa ndani wameshazisoma,ni tofauti na Nabi,Nabi alikuwa akifanya mabadiliko ya Mchezaji mmoja tu kikosi kizima kinabadilika kiuchezaji na inakuwa hatari sana!
Gamondi yeye akifanya mabadiliko unakuta mambo ni yale Yale tu!
Kimataifa Gamondi atafanya vizuri kwasababu ni timu ambazo tunakutana nazo mara moja,lakini humu ndani Gamondi atapata taabu sana kwasababu makocha wengi wameshamsoma!
Kwasababu timu pinzani Kucheza Kwa kupaki bus wameshaelewa kabisa kwamba wakipaki bus Kwa mbinu za Gamondi hawezi kupangua kwasababu Hana wachezaji wa kulazimisha!
Wachezaji kama AZIZ KI,NZENGELI,MUDATHIR,CHAMA na DUBE,yaani ilitakiwa wakifika ndani ya eneo la 18 la mpinzani wawe wakatili kupita maelezo hata kama wasipofunga lakini kila mtu atakuwa ameona hatari walizosababisha!
Lakini ukiwangalia hao wachezaji ndiyo kwanza wanaongoza Kwa kutoa na Kucheza maboko!,that's why timu zinapaki bus kwakuwa wanajua Kwa wachezaji hao wa Yanga hakuna wa kuwasumbua!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Furaha yako muda mda si mrefu utarudi kwenye default yako ya kila siku.
Kwa hiyo wewe Kolo FC u anaijua Yanga kuliko sie wenye timu.
Kupigwa ni sehemu ya mchezo. Si juzi tumefungwa mbili? Uzuri wa Simba ina namna nyingi sana ya kufurahia soka.Mi simba, lakn naomba tuwe na akiba ya maneno asee. Unafikiri tukapigwa hyo October 19 na mwisho wa msimu utopolo akabeba kombe utasemaje tena?