Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

dakik ya kwanza kabisa ,kapombe alikosa goli alafu 3v4 ya simba zilikuw nying tatizo umakini ,na mwamba fernandez na ahou kawapika sanaa watu mule
Unazitafuta kwa tochi. Hamna nyingine zaid ya hiyo,za Yanga si zikumbuki zilikuwa ngapi ila zilikuwa nyingi mno.

Tulieni si hapo tu bado wiki tatu na uzuri JF ipo tutarudi.
 
sawa mkuu mpira ni mchezo wa wazi na ubingwa wenu unapimwa kupitia simba na si Azam may be singida BS
 
Yanga haichagui mechi yoyote kila timu inapewa same treatment ndio maana tulivyo Gawa tano tano na ww ukalala tano,tumegawa moja moja na wewe ukala kimoja. Hatuna mentality ya kukamia game,ndio maana tunagawa wastani kwa idadi bila upendeleo.
 
Sisi tuliwafanyia sanaa ninyi a.k.a(Bi mkubwa) sioni kam ni kitu geni sanaa though mpira unaamuliwa na quality +Plan
 
Attachments

  • Screenshot_20240927-172306_Chrome.jpg
    Screenshot_20240927-172306_Chrome.jpg
    24.9 KB · Views: 3
Sisi tuliwafanyia sanaa ninyi a.k.a(Bi mkubwa) sioni kam ni kitu geni sanaa though mpira unaamuliwa na quality +Plan
Uzuri hatubagui, msimu uliopita tuligawa tano tano na wewe ukala tano,msimu kuanzia kwenye ngao na kwenye ligi tumegawa moja moja na wewe ukala kidude. Ila uzuri mlifurahi sababu hamjala nyingi,kama ilivyo kwa wenzenu Ken gold na KMC.
 
2012 ipo kichwani bado usijisahaulishe 2021 ipo pia story hazifutiki
 
Mkuu sijaelewa yani kwamba ubora wa timu ni kufunga magoli mengi au, maana kwenye hoja yake kaonesha kwamba ubora wa timu siyo kufunga magoli mengi, tofauti na wanavyosemaga mashabiki wa timu yake akiwemo yeye
Ulikuwa sahihi, ndiyo maana naliona hoja yako ijibiwe kwanza.

Ova
 
Selection ya Gamond siku za karibuni imekuwa mbovu, Clement mzize ni complete package ila utashangaa anaanza Dube.

Timu inatakiwa ijengwe kumzunguka Pacome ila unashangaa hata benchi hayupo..
Tusisahau pia watu wanafanya homework zoa kabla ya mechi..
 
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.

Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.

Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...

Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
Tunatinga fainali wewe acha kuwa na roho ya kukata tamaa.
 
Ulikuwa sahihi, ndiyo maana naliona hoja yako ijibiwe kwanza.

Ova
Oohh sawa sikuelewa niliona kama ulisema mimi ndio sijajibu hoja ya jamaa, huyo ndivyo alivyo wala simshangai akiishiwa hoja huwa anakimbilia kusema hakujibu tena, ila cha muhimu mashabiki wa uto wanaanza kuona hali halisi na hatimaye kiswahili kimeanza kubadilka
 
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu.

Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao.

Msimu huu tujiandae tu kwa vilio maana hata huko Klabu bingwa sidhani kama tutatoboa huko kwenye makundi...

Nipo tayari kuitwa mbumbumbu/kolo
KOLO MOJA LISHASEMA....HHHHHHH
 
Kinachomtokea Gamond saizi ndio kilichomtokea Rhulan Mokwena.
Baada ya kucheza na Yanga kila mtu akajua kumbe hawa ukipaki Semi hawaendi ikawa ngumu tena kwao kushinda ndo mana jamaa wamemtoa!
Gamond ligi kuu wameshamsoma ukichanganya na wachezaji nao wanaugua homa ya kikosi kipana hawana jitihada zaidi...
Yani kimataifa wakitusoma kama walivyotusoma ligi kuu tumekwisha
Gamondi anajaribu mifumo mbalimbali na sasa nimeelewa kwa nini Mzize anaanza mbele ya Dube,Musonda na Baleke .

Moja kutumia viungo wengi na striker mmoja mbele ambaye ana uwezo wa kusaidia kiungo hata ulinzi ikiwezekana Mzize uwezo huo kaonyesha kuweza kuliko Dune na Baleke.Hata Musonda kurudi nyuma kusaidia ulinzi anaweza ingawa akipanda anapanda kama winga tofauti na Mzize akipanda mbele kutoka nyuma anapanda kama kiungo hapo lazima Kocha ataona Mzize ana fit kwenye mfumo wake pendwa,Pia Mzize ni mzuri kwenye pressing pia Mzize anazidi kujiarisha kwenye ufungaji.

Dube inabidi aongeze physical fitness pia kuongeza Kasi kusaidia kiungo na kuwa mkatili kufumania nyavu apatapo nafasi.

Mechi na KMC,Gamond kajaribu kutumia strikers alianza na 2 baadae akaongeza wakawa 3 ,mechi na KMC alipunguza sana viungo akijaribu mpango mwingine wa kutumia strikers wengi zaidi ya viungo na kwa kuwa KMC walikuwa wanapark bus mda mwingi hivyo ikawa KMC wakifanya counter attack ikawa KMC wanafika golini kwa Yanga haraka sema ubora wa ulinzi wa Yanga na kipa Diarra uliweza kuzima mashambulizi ya KMC.

Yanga Ina wachezaji wengi sana katika kila nafasi anachofanya Gamondi ni kutengeneza mifumo mbalimbali ndani ya timu ili kuweza kukabiliana na timu yoyote ndio maana amekuwa akisisitiza kwa sasa anachozingatia ni point 3 kwanza hayo magoli mengi anayataka lakini kwake ni aina ya timu ya ushindi anayoitengeneza.

Ila kitu pekee ambacho Yanga inatakiwa pia kukifanyia kazi ni pressing wakachukue mkanda wa mechi ya SuperCup kati ya Zamalek na Al Ahly .

Al Ahyl walipata bao kipindi Cha kwanza wakaamua kupaki bus hata kipindi Cha pili bado Al Ahyl waliendelea kupaki bus walichofanya Zamalek ni jihad ,pressing ya kufa mtu pamoja Al Ahyl timu nzima walirudu nyuma kulinda bao lao wakiongozwa na beki wao wa kimataifa Rabia ,pressure waliokutana nayo kutoka kwa Zamalek walizidiwa na ilipigwa cross ,mshambuliaji wa Zamalek alifunga goli katika mazingira magumu mbele ya mabeki 4 hata kipa wao mkongwe mgumu kufungika alishindwa kuzuia mpaka mpira unaisha 1-1 na kusababisha kwenda matuta haikuwa ajabu Zamalek kushinda penati zile kutokana na morali ya juu waliokuwa nao wachezaji wa Zamalek na wakafanikiwa kuishinda Al Ahly na Zamalek kutwaa kombe la Super Cup 2024 .Eng Hersi alikuwepo uwanjani pale Riadh hivyo anajua ataiboresha vp timu yake kwa kushirikia na bench la ufundi la Gamondi.

Pia ujio wa Chama,Duke na Baleke unamfanya Gamondi kujaribu combination hasa eneo la kiungo na wachezaji waliokuwepo akina Aziz K,Pacome,Nze geli,Mudathir,Aucho,Mkude na kwenye kiungo Mkude inabidi azidi kujifua ili msaada mzuri na mbadala wa Aucho ambaye ni mzuri wa short passes lakini Mkude ameonyesha ni mzuri WA long passes.

Kama timu pinzani na Yanga zimeamua katika ligi ya NBC zinaona kupaki bus ndio kuiweza Yanga Nina uhakika Kwa wachezaji alionao Gamondi wapo wachezaji wa kufungua ilo geti mchezaji kama Pacome na Max wakiandaliwa vizuri Wana uwezo kufungua ulinzi ulioamua kupaki bus wakishirikiana na Mudathir pamoja na safu ya ushambuliaji hasa Mzize na Musonda ingawa Musonda pia aangalie sana rafu zake ajirekebishe ufanyaji wa rafu hovyo zinagharimu timu.

Pia msimu huu timu nyingi zimesajili vizuri na zina makocha wazuri na zenyewe hazipendi kufungwa fungwa hovyo hizo goli nyingi ,ukutaka kuzifunga goli nyingi zenyewe zinakaza ndio uhondo wenyewe wa mpira na zinaisadia sana Yanga na Simba kwenye maandalizi ya ligi za CAF.
 
Kuna kipindi nilikiwa na bishana sana na mashabiki wa Yanga kipindi kile Yanga ,anatolewa Championship na kurudi shirikisho, nilikuwa na bishana sana humu. Uzuri Nabi akashinda tena ugenini na kuingia makundi,kwenye makundi napo mechi ya kwanza tulipigwa, akaja kushinda kwenye mechi na Mazembe ambayo watu waliiona Yanga hatoki na Nabi nae baada ya ile mechi, akawapa makavu kuanzia waandishi, wachambuzi na mashabiki waliokuwa wakimpressurize.

Huu mpira kila siku sio Jumapili, mbona ushindi huu wa goli moja moja ,mbili moja ndio ulikiwa ushindi wa Nabi na timu ikabeba ndoo mara mbili yaani watu washasahau.
Watu hawana kumbukumbu
 
Nili
Gamondi anajaribu mifumo mbalimbali na sasa nimeelewa kwa nini Mzize anaanza mbele ya Dube,Musonda na Baleke .

Moja kutumia viungo wengi na striker mmoja mbele ambaye ana uwezo wa kusaidia kiungo hata ulinzi ikiwezekana Mzize uwezo huo kaonyesha kuweza kuliko Dune na Baleke.Hata Musonda kurudi nyuma kusaidia ulinzi anaweza ingawa akipanda anapanda kama winga tofauti na Mzize akipanda mbele kutoka nyuma anapanda kama kiungo hapo lazima Kocha ataona Mzize ana fit kwenye mfumo wake pendwa,Pia Mzize ni mzuri kwenye pressing pia Mzize anazidi kujiarisha kwenye ufungaji.

Dube inabidi aongeze physical fitness pia kuongeza Kasi kusaidia kiungo na kuwa mkatili kufumania nyavu apatapo nafasi.

Mechi na KMC,Gamond kajaribu kutumia strikers alianza na 2 baadae akaongeza wakawa 3 ,mechi na KMC alipunguza sana viungo akijaribu mpango mwingine wa kutumia strikers wengi zaidi ya viungo na kwa kuwa KMC walikuwa wanapark bus mda mwingi hivyo ikawa KMC wakifanya counter attack ikawa KMC wanafika golini kwa Yanga haraka sema ubora wa ulinzi wa Yanga na kipa Diarra uliweza kuzima mashambulizi ya KMC.

Yanga Ina wachezaji wengi sana katika kila nafasi anachofanya Gamondi ni kutengeneza mifumo mbalimbali ndani ya timu ili kuweza kukabiliana na timu yoyote ndio maana amekuwa akisisitiza kwa sasa anachozingatia ni point 3 kwanza hayo magoli mengi anayataka lakini kwake ni aina ya timu ya ushindi anayoitengeneza.

Ila kitu pekee ambacho Yanga inatakiwa pia kukifanyia kazi ni pressing wakachukue mkanda wa mechi ya SuperCup kati ya Zamalek na Al Ahly .

Al Ahyl walipata bao kipindi Cha kwanza wakaamua kupaki bus hata kipindi Cha pili bado Al Ahyl waliendelea kupaki bus walichofanya Zamalek ni jihad ,pressing ya kufa mtu pamoja Al Ahyl timu nzima walirudu nyuma kulinda bao lao wakiongozwa na beki wao wa kimataifa Rabia ,pressure waliokutana nayo kutoka kwa Zamalek walizidiwa na ilipigwa cross ,mshambuliaji wa Zamalek alifunga goli katika mazingira magumu mbele ya mabeki 4 hata kipa wao mkongwe mgumu kufungika alishindwa kuzuia mpaka mpira unaisha 1-1 na kusababisha kwenda matuta haikuwa ajabu Zamalek kushinda penati zile kutokana na morali ya juu waliokuwa nao wachezaji wa Zamalek na wakafanikiwa kuishinda Al Ahly na Zamalek kutwaa kombe la Super Cup 2024 .Eng Hersi alikuwepo uwanjani pale Riadh hivyo anajua ataiboresha vp timu yake kwa kushirikia na bench la ufundi la Gamondi.

Pia ujio wa Chama,Duke na Baleke unamfanya Gamondi kujaribu combination hasa eneo la kiungo na wachezaji waliokuwepo akina Aziz K,Pacome,Nze geli,Mudathir,Aucho,Mkude na kwenye kiungo Mkude inabidi azidi kujifua ili msaada mzuri na mbadala wa Aucho ambaye ni mzuri wa short passes lakini Mkude ameonyesha ni mzuri WA long passes.

Kama timu pinzani na Yanga zimeamua katika ligi ya NBC zinaona kupaki bus ndio kuiweza Yanga Nina uhakika Kwa wachezaji alionao Gamondi wapo wachezaji wa kufungua ilo geti mchezaji kama Pacome na Max wakiandaliwa vizuri Wana uwezo kufungua ulinzi ulioamua kupaki bus wakishirikiana na Mudathir pamoja na safu ya ushambuliaji hasa Mzize na Musonda ingawa Musonda pia aangalie sana rafu zake ajirekebishe ufanyaji wa rafu hovyo zinagharimu timu.

Pia msimu huu timu nyingi zimesajili vizuri na zina makocha wazuri na zenyewe hazipendi kufungwa fungwa hovyo hizo goli nyingi ,ukutaka kuzifunga goli nyingi zenyewe zinakaza ndio uhondo wenyewe wa mpira na zinaisadia sana Yanga na Simba kwenye maandalizi ya ligi za CAF.
Nilitaka kuanzisha uzi,ila.comment yako ndio content ya uzi niliotaka kuanzisha.

kIufupi kocha yupo kujaribu mifumo katika mazingira tofauti.
 
Back
Top Bottom