Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

Uko sahihi mkuu
 
 
Njoo ukosoe ten....!!!!
 
Njoo ukosoe ten....!!!!
Hivi umekielewa nilicho kiandika,sasa nikosoe nini? au kuna sehemu unaona nimekosoa,sasa unataka kila siku timu ishinde....... kwani Yanga kabla ya mechi ya juzi matokeo ya mechi tano za mwisho ilikuwaje?

Wengine mpira mnaoneka hata hamjacheza, mimi sio mtu wa kupaniki. Kama umepigwa ndio mpira jipange awamu nyingine na kama umeshinda sawa.

Matokea yake kwa kupanic kwenu mmemuondoa kocha,ambaye hana makosa mmemleta huyu ambaye anahitaji mda na matokeo yake juzi mliona najua tutamlaumu ila still bado yy yupo kwenye level ya kujenga kikosi chake,ktk kujenga anaweza akapatia au akakosea kama ilivyokuwa juzi.
 
Nimeandika maneno nachache umeandika habari kubwa na dharau kibao.... Unajifanya unajua Kila kitu.
 
Nimeandika maneno nachache umeandika habari kubwa na dharau kibao.... Unajifanya unajua Kila kitu.
Sasa dharau ipo wapi?

Maneno machache ambayo hauja elewa nilicho kiandika? Hauna tofauti na mpayukaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…